Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukiniambia nichague kati ya Delph na Hendo mi namchukua Delph mkuu , miles better than Hendo

Hawana tofauti mkuu isipokuwa deph yupo kwenye timu yenye mentality ya ushindi wanajua nini wanapigania
 
"They lost Coutinho and they never replaced him."

Jamie Carragher on whether Liverpool have a problem. Do you agree?
 
Sisi Man united tutamuachia city kama Steven Gerald alivyo mpasia Forward ya Chelsea ili man united asichukue ubingwa
Kwamba man u alikuwa on top liver akamtibulia? Hebu tukumbushe ni msimu Wa mwaka gani huo? Make mie nakumbuka ni Gerald ndo alijitibulia kubeba ndoo
 
We will do the ‘hard way’
Liverpool way
Down to the wire
Mechi hii ilikuwa ngumu sana,Everton wameingia kuharibu tu lkn Salah ndiyo katuua zaidi
Mechi hizi nne ndiyo zitatoa bingwa wa EPL
Liverpool vs Spurs vs Chelsea
Man City vs Spurs vs Man U
Tuna advantages kubwa sababu sisi ndiyo tutaanza kucheza na hawa wawili!
Bado nina imani kubwa sana!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu imani yako unaitumia vibaya city walitupa nafasi tuka ichezea kwa sasa tutafukuza upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm nashangaa sana mashabiki hawa uchwara!
Huyu mwarabu Salah hovyo sana,yaani ile kamuacha Kane mbali sana hadi kamfikia!
Ile ya kipindi cha kwanza hadi akina Zouma wamesimama sababu waliisha chelewa kabaki yy na kipa anashindwa funga!
Sasa Klopp hizi nafasi 2 kubwa afanye nn?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nani ambaye hayaogopi majogoo
 
Malafyale huwa ananishangaza sana. Yeye na wale wazee Wa "ndiooo" hawana tofauti. Hata tuharibu yeye ni sawa tu. Kuna wachezaji pale Liverpool sio first team players. Henderson, never, Keita is very talented. Namshangaa kocha sana. Una attack minded midfielders unachezesha kina Henderson na Milner.

Hiki kitu wengi kinawaacha mdomo wazi
 
Hata mm Ni muumin mzur sana wa falsafa ya klopp kimpira,ila ameniacha hoi kiukweli kumuacha shaqir an keita halfu anamuingiza lallana kwenye gemu inayotaji tushinde...

Binafsi hata kumtoa mane kiukweli sijaona Kama Ni sahihi na nafsi yangu siku zote inaniaminisha mane Ni Bora kuliko Salah kutokana na mchango anaoutoa hapo mbele...

Anyways ndio tushadrw tumeanguka wito wangu kwa wana Liverpool tupukute vumbi kwenye bukta tuendelee na safari...hatuwezi kubadili kilichotokea...

HAWATOAMIN WATACHOKIONA
#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp:-

"The wind does not help and there was a lot today. You have to be ready for the fight of the second ball.

We had five or six big chances but Jordan Pickford or a defender was in between. I don't think they had a real chance.

Not perfect but good enough - getting a point from Everton is always a success because it is our most difficult away game of the season."
 
Hata mm Ni muumin mzur sana wa falsafa ya klopp kimpira,ila ameniacha hoi kiukweli kumuacha shaqir an keita halfu anamuingiza lallana kwenye gemu inayotaji tushinde...

Binafsi hata kumtoa mane kiukweli sijaona Kama Ni sahihi na nafsi yangu siku zote inaniaminisha mane Ni Bora kuliko Salah kutokana na mchango anaoutoa hapo mbele...

Anyways ndio tushadrw tumeanguka wito wangu kwa wana Liverpool tupukute vumbi kwenye bukta tuendelee na safari...hatuwezi kubadili kilichotokea...

HAWATOAMIN WATACHOKIONA
#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo anapofel kuwakumbatia waingereza

Tia watu wa kazi ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is it happening again.?
tapatalk_1511835084932.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp eshuntwa ula
Tushaga sema mildfield ya hendo millie na gin haifai tazama klopp alivyo punguwani wa akil anamtoa gini anamuweka millie duh vijana wakapata na nguvu ya kutushambulia manina
Kinachoboa zaid wapuuzi wachache humu wanamtetea kwa kuyaamin yale maingereza matatu

Wapare wanasema hivi kipare "" wandu wa klopp wethina kindu na klopp e mdhuti"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hana impact yoyote ina maana timu zote hazikumuona toka juu hadi stoke city?

Mchezaj anapanda toka chini kwenda juu
Kuna siku niliwahi kuwaambia hawa, unamsajili Shakir akusaidir nini.? Walinijia juu sana ooh kacheza Bayern, sijui kapita huku na kule. Nikawaambia haya tusubiri tuone atawapa nini.

Bado nasubiri maajabu ya Shaqiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom