Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool Leo mmejiua kunitukanisha Huku nilipo...aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulituambia mwisho wa Msimu hatutoamini tutachokiona!

Na nikakujibu sio mwisho wa Msimu, Bali hivi sasa ndiyo hatuamini tunachokiona...

But sasa ninakwambia mwisho wa Msimu hutaamini nilichokwambia.

Just continue to say In Klopp You Trust
 
Huu mzigo la lawama hakuna wa kuubeba, abebe mwenye Klopp. Mi nadhani aproach ya hii game alitaka sare. Mara nyingi kama sio zote ukiona Heddo kaanza kwenye game muhimu basi ni kwenda kutafuta sare. Na tuimepata.

Sasa ni mwendo wa kuwaombea City mabaya. Tumeshindwa uwanjani tunaanza mambo ya maombi. Kwa jinsi nilivyojisikia vibaya leo, tukiendelea na hii hali ya kucheza kama hakuna tunachotafuta kwa haki kabisa nitahama hii timu.

Keita kamkosea nini Klopp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salah hivi kweli anajua tunahitaji ubingwa zaidi ya kiatu cha ufungaji bora?

Hivi anajua kuwa akishinda ubngwa na liver hatasahaulika miaka buku kuliko kushinda golden boot?

Hivi salah anajua tunamhitaji zaidi ya anavyohitaji kiatu cha ufungaji?

Hivi salah aoni kuwa ni game ya nne sasa anatukosea?

Dah kuanzia leo namchukia salah na braza ake klopp hawa ni washenzi wapiga deal kwao liver si chochote

Wao ni wapita njia lakini wameamua kutupa vidonda vya tumbo sisi mashabiki
 
I will do Ulozi to anyone who said "Tuendelee Kushikamana Tupo pazuri".
 
Wanachoshangilia Opponents wetu hapa si sisi kukosa Ubingwa!

Bali wanashangiria sisi kufungwa tu ili tusiwe Unbeaten.

Lakini Kuhusu ubingwa wanajua wazi kuwa hakuna wakutuchallenge

Mkuu trust me! Tutaendelea hivihivi kuongoza Ligi mpaka mwisho wa Msimu na kubeba ubingwa kabisa.
Helloooow..!
 
ngw.JPG

Bado sijaifutaga hii screenshot..!
Nafikiri nitaifuta May..!
 
Huu mzigo la lawama hakuna wa kuubeba, abebe mwenye Klopp. Mi nadhani aproach ya hii game alitaka sare. Mara nyingi kama sio zote ukiona Heddo kaanza kwenye game muhimu basi ni kwenda kutafuta sare. Na tuimepata.

Sasa ni mwendo wa kuwaombea City mabaya. Tumeshindwa uwanjani tunaanza mambo ya maombi. Kwa jinsi nilivyojisikia vibaya leo, tukiendelea na hii hali ya kucheza kama hakuna tunachotafuta kwa haki kabisa nitahama hii timu.

Keita kamkosea nini Klopp?

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp anatupeleka huko kumpigia Citi ramli apoteze..

na nikiangalia mechi za Citi lol labda apoteze au adraw mechi dhidi ya Spurs, Manu, Crstal palace au Leista...

mbaya sana kutegemea wao wapoteze ndio tuuone mwanga...

kutoka pointi 7 mpaka kua wa pili ndugu ni kama kiwango kinazidi kushuka kila kukicha..
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha
ha ha ha ha

yule jamaa aliyevaa suti ya bluu msibani ni nani eti..♥♥♥
#goodsonpark stadium
#jurgenklopp

"liverpool bhana alafu kuna shabiki hajui mpira hivi yupo hapa jina lake linaanza na KING NG... ha ha ha

#one point behind the liverpool"

cityzen chairman am here
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom