Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mda mwingine tunaweza hisi Klopp anafanya makosa ktk upangaji wa kikosi lakin kumbe wenyetimu na wenye mji na wenye nchi yao kiujumla ndio wanataka hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anatakiwa kupanga kikosi kulingana na anavyotaka yeye au wanavyotaka wenye timu?
One thing I have noted and am saying it here, Klopp isn't a decision maker.
Anaogopa kuchukua maamuzi magumu, kwa kuwaza akipoteza atasemwa.
Anapenda kujioendekeza, kwa hiyo anaona ni bora tufungwe tukiwa na wachezaji wanaopendwa na wanazi kwa sababu hatasemwa.
Kocha wa hivyo sahauni makombe. Ataishia kukumbatiana na wachezaji tu, na kutoa sababu za kijinga kila tunapokosa ushindi kwa sababu za uzembe wake.