

tunaona mnatupisha kwa wepeeeesi! watoto wa mji .Mentality ya Ku win kombe itatoka wap wakati first XI yote ya Liverpool haijawahi kubeba hata yale makombe ya mbuzi?Atakae fanya makosa Kati ya sis LFC au Man city kwa sasa basi atakuwa kampa mwenzake upenyo wa kunyenyua kwapa mwenzake
Salama yetu kwa sasa ni kuwin game zote zilizo baki na hili linawezekana
Kama mambo yafuatayo yatakaa sawa
1.tusipate injury kwa sasa
2.klopp afanye kitu cha maana ktk upangaji wa kikosi
3.wachezaji wawe na mentality ya kuwin trophy
Vikiwezekana hivyo hakuna namna EPL 2018/2019 ni yetu
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app