Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo Brewster umefanya kama tegemezi amewazidi sana hawa makinda? Sijawahi kumjua

He is very talented Young boy! But due to his serious injury suffered in last year I don't know kama atakuwa na Impact tunayoitegemea.
 
past two weeks ule wimbo wa Liverpool halisi na fake umeshuka viwango vya LFC Forum.
Natania tu

Bado kukosekana kwa J.Gomez bado nimekua na wasi wasi kwenye back four yetu.
Mechi ambazo Gomez hajacheza plus Gini (may be) tumeruhusu magoli mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa ni kupambana mpaka tone la mwisho wa damu...lkn kwa Hali ninayoiona huu mwaka ni wetu tuombe tu mungu...vijana wanajituma tuwe nyuma yao Hawa wapinzani wataongea tu Ila sisi tuongee uwanjanii...huku kwenye forum ikiwezakana hata tuwatukane ili mradi ya kwetu yaende

Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
 
yeah ni kweli ni wetu ila sio kwepesi... pressure inapanda na kushuka huyu pep sio wa mchezo mchezo. Ila tutabanana nae mpaka ubingwani May.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeah ni kweli ni wetu ila sio kwepesi... pressure inapanda na kushuka huyu pep sio wa mchezo mchezo. Ila tutabanana nae mpaka ubingwani May.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo yaani Kama una jua Dua ya kuomba mtu avunjike mguu tuombe tu,,,maana Amin nalokwambia tunachukiwa kupita maelezo na wapinzani!! Hivyo na sisi tusilegeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Solanke alikuwa anajua na alitoka Chelsea Klopp kampiga bei

Sent using Jamii Forums mobile app

Liverpool ya sasa inayotaka kubackup the lost glory of of europe crown. Haitakiw tena kukeep average player like Solanke, Moreno.

Tunahitaji players wenye uwezo wa kubadili matokeo, world class players like salah, Mane etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom