zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Hiyo ni 'ramli chonganishi' ! Hatuna jibu.Hivi wadau Ox akipona akawa fit na kurudi kwenye kiwango chake cha mwaka jana. Fabinho, Keita na Gini nao wakaendelea kuperform vizuri. Mnafikiria pale kati Klopp atamweka nani na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
i would rather have Fabi there than Lovren...BREAKING: Fabinho is set to play at centre back alongside Joël Matip against Bayern Munich tomorrow. It looks as if Dejan Lovren will not be fit in time. [Paul Joyce]
Sent using Jamii Forums mobile app
he has a flu or virus kind of..Firmino didnt train today
lets wait and see
hiyo timu unayoizungumzia hapo we umeifunga ngapi msimu huu??Yaani kufunga timu iliyopigwa na Bournemouth 4 - 0, Man City 6 - 0 kunakufanya uje umtambie Liverpool, Bingwa mtarajiwa!
hiyo timu unayoizungumzia hapo we umeifunga ngapi msimu huu??
shabiki wa mpiraNilikutana nao wakiwa bado wanajielewa, sasa hivi wameharibikiwa.
Ni opposite na ninyi, tulipokutana mlikuwa mna hali mbaya, ndiyo maana huwezi nikuta najipa matumaini ya kukufunga sasa hivi kisa tu nilikufunga mara ya mwisho tulipokutana, mmebadilika sana.
shabiki wa mpira
Mbona mnaogopa sana?...malizaneni kwanza na bayern..fimbo za ole zipo tu mtazipata
Msimu uliopita rashford alifunga goli ngapi ot dhidi ya liver?....vipi beki alikua nan?Kwa akili yako unadhani rashidi atafunga goli mbele ya Van dijk? Endeleeni kuota na kulishana matango pori na huyo mmasai wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako unadhani rashidi atafunga goli mbele ya Van dijk? Endeleeni kuota na kulishana matango pori na huyo mmasai wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Michael Oliver will referee Manchester Utd vs Liverpool on Sunday
Sent using Jamii Forums mobile app
umeongea kimpira mkuu sio kimapenziSijakuelewa Mkuu.