and yet Gary Nevile n crew seem convinced whoeva wins at OT between Citi n Majogoo il be EPL winner in waiting...

from what i have seen we might as well both win at OT...

OT is not th decider of who is to be crownd EPL champion..

Poleni sana wazee wa Manure ndio mpira..
 
Kelele za United kwisha...
Neymarless, Cavaniless PSG twanga Man Utd, Martial, Lingard injured... Pogba na kimbelembele yake Red card.. Kazi sasa ni rahisi kwa Liverpool.. Kichapo kwa mpigo.. Huyo ole mambo yake kwisha.. Ole must go ndio wimbo utaskia sasa ...eti Degea kufunga Old Trafford ni mwiko sijui walikuwa emirates!!! sasa mtaringa na nini??? Unbeaten kwisha... Naona mkirudi namba 6 after Liverpool game

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And they say he's better than SG8 lol
Usiwalaumu,huenda wako sahihi kwa upande wao na vigezo wanavyotumia...
Kama mimi ninavyoamini ya kuwa huyo Steve Gerald alikua ni mchezaji wa kawaida sana (just another overrated English player),ukinibishia utakua una matatizo...
Kwasababu huo ni mtazamo wangu binafsi..!
 
Eti ukinibishia utakuwa na matatizo smh
 
Usiwalaumu,huenda wako sahihi kwa upande wao na vigezo wanavyotumia...
Kama mimi ninavyoamini ya kuwa huyo Steve Gerald alikua ni mchezaji wa kawaida sana (just another overrated English player),ukinibishia utakua una matatizo...
Kwasababu huo ni mtazamo wangu binafsi..!
hata David Beckham alikua mchezaji wa kawaida mbali alikua na nyota njema ya kua mahala sahihi na wakati sahihi...

wapo wachezaji wengi tu wa kawaida sana tunawaona..
 
Liverpool fanyeni kweli kama Man United ..msituangushe kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE

Ollachuga utulie ndugu ushindi wangu dhidi ya Manure pale trafford unakuja haukwepeki, jamaa walijijaza upepo jana wamezimwa na kukumbushwa hawapo vizuri kihivyo...

huyi kocha wao alidai kikosi dhidi yako FA na dhidi ya Majogoo tayari anakijua hivyo yeye anapanga mechi 5 mbele baada ya kipigo cha jana sitarajii atoe kauli kama hio huku wakichezea vipigo..

Jumatatu FA mpige azidi kupagawa mpaka nakutana awe kashalewa yupo hoi...
 
Back
Top Bottom