Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe unataka nyumbu afumuliwe kisa kakufumua wewe..?? Liverpool hii ina draw na westham itaweza kweli kumfumua uyo nyumbu? Embu wacha chuki binafsi bwana ..wewe ni mteja wa Man united tu ..hata gemu yenu ya pili atakupiga tu. Huna pa kutokea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

OT tunakuja kufanya yetu, tutunzieni hizo point 3.
 
Kuna watu wanamuona bonge la mchezaji huyo kisa tu aligaiwa goli la mdondo na kipa wa Everton
Huwezi kumiliki wachezaji wanao lingana viwango huwezi muita bonge la mchezaji ila kwa hakiba ni mzuri mess anakosa itakua huyo ambae hna hata dakika 120 uwanjani msimu mzima?katika vitu nnavyo pinga kocha ndo hivi unakua na wachezaji 5 benchi hafu huwatumii hata kwenye matokeo mazuri unasubiri siku za shida mchezaji huyo unamtegemeaje?
Origi keshakua kama Sturreg tu hana chakupoteza anacheza anavyo jisikia Mnao mlaumu Keita siwaelewi mana mechi yake ya kwanza alicheza vyema lakini mechi iliofata kawekwa benchi hata dakika hajapewa hatuwezi jua anaelekezwaje na kocha.

Team yetu mbovu kupiti manegment.
 
Liverpool HALISI katika ubora wako.

Wewe ndo unayejua kuwa klopp huwa akosei bana.

Achana na hawa FEKI, UCHWARA...

sisi HALISI tuendelee kushikamana

#MayisComing..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Chelsea ..wewe ukikosa ubingwa msimu huu acha kushabikia mpira kabisa, maana utajakufa kwa kugongwa na gari au presha.

Huu msimu hautajirudia tena kwenu.

Pambanieni kombe ohoo City anawa zoom tu. Spurs apoo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…