Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
we jamaa kwa uongo huu sidhani kama utaenda mbinguni yani watu tupo kwenye jukwaa letu kama kawa halafu unasema tumetoka nduki nafikiri aliyetoka nduki ni yule swahiba wako ambaye bado hatujamwelewa kama kweli ni mwenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule ni Mshabiki mwenziwe wana timu yao inaitwa Arsenapool