Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Mkuu uwepo hapa!
Huyu ni Klopp jamani kocha hatari sana,ndiyo kocha pekee ktk Germany modern soccer history kuivua Bayern ubingwa tena mara mbili mfululizo hadi Bayern wakaja na idea ya kumpokonya wachezaji ktk window ya January!
Anauondoa ufalme wa Pep EPL anaanzia mwaka huu na Pep mwakani atakataa kubaki EPL na wote sasa walio kuwa wanamponda Klopp nawaona hapa wamejirudi-Hiyo ni nzuri kwa group na nawapongeza!
Hata Hendo na Lovren mtawakubali tu
Sent from my iPhone using JamiiForums