Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

*Liverpool's Next Six*

Brighton vs Liverpool
Liverpool vs Crystal Palace
Liverpool vs Leicester
West Ham vs Liverpool
Liverpool vs AfC Bournmouth
Man United vs Liverpool

*Man City's Next Six*

Man City vs Wolves
Hudersfield vs Man City
Newcastle vs Man City
Man City vs Arsenal
Man City vs Chelsea
Everton vs Man City
 
Goli la kwanza Lovren alizembea ku monitor movement ya Aguero, mwenzake ana move ye kasimama badala yake Ageuro anapokea pass toka kwa Silva na kufunga

Goli la pili pia Lovren alikuwa na chance wa ku move forward na kum block Sterling at that time pongezi ziende kwa Aguero aliyemfosi T.A.A kuingia ndani na kuacha space kwa Sane ambaye alikuwa free na kufunga. All in all Lovren had a chance to block Sterling kabla hajatoa assist kwa Sane.

Wapinzani wetu waliioona hii weakness wakaitumia, kurudi kwa Gomez na Matip kutaondoa hizi unnecessary errors.

YNWA
 
Mambo in hivi......city sio wazuriView attachment 985691

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kimekutwa Etihad, manchester. City sio watu wazuri.
20190104_150846.png
 
FERNANDINHO pekee is greater than GINI-HENDO-MILNER combined together.

Huu ni unyanyasaji
Arsenal na man united waliwapumbaza ni timu dhaifu mno kumbuka city alichukua point moja kwako chelsea alikutoa efl kisha ukasawazisha dakika za lala salama mech ya lig ilikuwa big test kwenu kukutana na chelsea na city wakiwa timamu means bado mnahitaj watu makini zaidi rudi nyuma ushindi wa spurs mliofunga
 
Timu yetu kwa kuangalia kipaji cha mchezaji mmoja mmoja ni dhaifu kweli lakini upambanaji wao umeficha udhaifu wake!

Ila kocha kuwafavour wachezaji walio vipenzi vya Waingereza kunafanya tuwe exposed ule udhaifu wetu.

Hivi Fabinho ajitahidi vipi ili aaminiwe na Klopp?

Hivi ni kweli Fabinho hawezi kucheza mbele ya Henderson na Milner?
Hii ni sawa na Mourinho kutaka kuwaaminisha watu kuwa Felaini ni bora kuliko Pogba.

Timu yetu so dhaifu kiasi hicho ila Klopp ndiye anafanya tuonekane dhaifu.
 
*Liverpool's Next Six*

Brighton vs Liverpool
Liverpool vs Crystal Palace
Liverpool vs Leicester
West Ham vs Liverpool
Liverpool vs AfC Bournmouth
Man United vs Liverpool

*Man City's Next Six*

Man City vs Wolves
Hudersfield vs Man City
Newcastle vs Man City
Man City vs Arsenal
Man City vs Chelsea
Everton vs Man City

Mimi bila ya wasiwasi wowote ninaamini kuwa baada ya Michezo hii 6 basi Man City tutamuacha kwa Points 10.
 
Goli la kwanza Lovren alizembea ku monitor movement ya Aguero, mwenzake ana move ye kasimama badala yake Ageuro anapokea pass toka kwa Silva na kufunga

Goli la pili pia Lovren alikuwa na chance wa ku move forward na kum block Sterling at that time pongezi ziende kwa Aguero aliyemfosi T.A.A kuingia ndani na kuacha space kwa Sane ambaye alikuwa free na kufunga. All in all Lovren had a chance to block Sterling kabla hajatoa assist kwa Sane.

Wapinzani wetu waliioona hii weakness wakaitumia, kurudi kwa Gomez na Matip kutaondoa hizi unnecessary errors.

YNWA

Kuna Mimbumbumbu huwa hayana uwezo wa kufanya analysis za kimpira kama hizi!
Basi yatashindwa kuchallenge chochote badala Yake yatakuja na mipasho hapa kama Mikahaba ya kwenye Vigodoro kusema ujinga wao kuwa Hujui kitu wakati wao hayaleti chochote zaidi ya usenge hapa.

Kama hatujui kitu si wao wanaojua walete hapa hizo analysis za mpira wanzozijua ili tusome!!!!!

Lakini Jinga flani lishachoka kuuza Karanga Ubungo linakuja hapa kuleta mipasho na mihemko ya Kisenge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom