mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Eeeh Mola Ujawai Kutuangusha Na Nina Iman Huwez Tuangusha Tena na Tena Usituchoke Mola Tunaomba Na Leo Tena!

Gini ni sub ya ox...na gini aliingia baada ya ox kuumia... gini na ox level 1... huwez fananisha na kina fab na keitaBado hujajibu, ni mechi gani tulimfunga Man City kwa mido ya Gini, Hendo na Milner (last season).
Gini ni sub ya ox...na gini aliingia baada ya ox kuumia... gini na ox level 1... huwez fananisha na kina fab na keita
Sent using Jamii Forums mobile app
City Wamekuja na Moto Lol!
Yaaani!Mungu yupo nao Man City si kwa kukosa huku
Haiwezekani Mkuu