Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kikosi
FB_IMG_1546542078460.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CC Penison
Liverpool: Alisson, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Robertson, Henderson, Milner, Wijnaldum, Mane, Salah, Firmino.

Subs: Mignolet, Fabinho, Keita, Moreno, Sturridge, Lallana, Shaqiri.

Manchester City
  • 31Ederson
    image.php
  • 14Aymeric Laporte
  • 5John Stones
  • 3Danilo
  • 4Vincent Kompany
  • 20Bernardo Silva
  • 21David Silva
  • 25Fernandinho
  • 10Sergio Agüero
  • 19Leroy Sané
  • 7Raheem Sterli
 
614c6915-bd47-4c11-aead-80f1cc7c8b67.jpg

Mungu ibariki Liverpool
Mungu muongoze Klopp atuvushe ktk mechi hii muhimu sana!
Amen!!
We beat Man City we will be a champs

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata tushinde 10 - 0 kwenye kikosi akishakuemo Hendo basi sina imani nacho

Leo ni kumpa kazi kubwa huyu mzee wa watu Milner tu..

Acheze nafasi yake! Acheze nafasi ya Hendo! Mtu mmoja acheze nafasi mbili peke yake?
Mana Hendo ni kuzunguka tu leo uwanjani.

Hujui lolote kuhusu soka!
Ni mtu mwehu anayeweza akapinga kazi za soka za Klopp
Mnatujazia server tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata tushinde 10 - 0 kwenye kikosi akishakuemo Hendo basi sina imani nacho

Leo ni kumpa kazi kubwa huyu mzee wa watu Milner tu..

Acheze nafasi yake! Acheze nafasi ya Hendo! Mtu mmoja acheze nafasi mbili peke yake?
Mana Hendo ni kuzunguka tu leo uwanjani.

Hahaha, yaani unaangalia game kwa kuchungulia, afadhali hata Fabinho angekuwepo ili Hendo apande juu.
 
Leo Beki zetu zisipande sana coz Sane, Sterling na Aguero pace yao ni mbio na kwenda mbele tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom