Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Inasikitisha sana kuona mkipiga kelele hapa wakati mnaemsema ndio bingwa wenu na pamoja na kupoteza mechi hii bado ndio mbabe wenu. Kufungwa haikuwa kitu mbacho hatukikitegemea sisi kama mashabiki bali obsession yenu nyie wapiga ramli na ubovu wa team zenu kufungwa kila siku ndio kumefanya kufungwa kwetu na team bora kuwatoe kwenye mahandaki yenu na kuja kufurahia hapa.

Loosing one or two aint bad especially when you are beaten by a good team like Man City, we lost three points for the first time this season to a good team, a team that is in contention for the title. I told you last week that anything can happen so we must never get carried away, now we take it to the next one.

Roll On Next GW

Hold Your Heads Up High and You'll Never Walk Alone
relax mzee povu lote la nn, utakosa usingizi bureee.
Mbona nyie timu zetu zikifungwa mnatuponda, sasa leo mmfungwa nyie hamtaki msemwe?
Mmekua nani nyie, embu kojoa ukalale huko 😃😃😃😃
 
relax mzee povu lote la nn, utakosa usingizi bureee.
Mbona nyie timu zetu zikifungwa mnatuponda, sasa leo mmfungwa nyie hamtaki msemwe?
Mmekua nani nyie, embu kojoa ukalale huko 😃😃😃😃
Kusema haujanyimwa mkuu we sema tuila hebu jiitathmini kwanza wenyewe ubovu wenu huko ndio mje kwaa LFC.. Mna mechi ngapi za kufungwa bado kwani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom