Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yani Namshauri Mane asije akajaribu Kusaini Mkataba Mpya kwa Timu hii.

Mwenzio Coutinho ana akili kwelikweli kutafuta Njia ya kutokea mapema kabisa.

Awaachie Kina Lallana timu yao.
hahahahahahahahahahahahaha hakuna timu isiyofungwa duniani mkuu so tulia kunywa maji ya kutosha coz mapambano yanaendelea wewe kufungwa kamechi kamoja tu unataka kutimua kocha wachezaji duh hao wamiliki wenyewe waliowekeza pesa zao hawalifikirii hilo
 
hahahahahaha nimecheka sana hivi unaanzaje kumpigia hesabu mchezaji wa OLIMPIC LYON na wewe katika benchi una wachezaji lukuki huku ndio KUPATWA KWA SOKA
1.liverpool walicheza mpira mzuri msimu uliopita msimu huu wanacheza vibaya na wanashinda

2.Kilichowasaidia Sana ni uwepo wa Allisson & Van Dijk wamesaidia kupunguza makosa kama wasingekuwepo wangekuwa wameshafungwa hata mechi 5 so far

3.Pia waliamini kuwa viwango vya Keita +Fabinho walivyoonyesha kwenye timu zao basi watacheza the same wakasahau kwamba hii ni EPL wachezaji wengi wakija wanastrugle

4. Ile front 3 yao wanaonekana wote wamechoka ndio maana wamefunga magoli machache msimu huu

5.Kama Van Dijk,Robertson,Salah,Mane, Allison wakipata majeruhi Liverpool wata-strugle Sana unless wasajili wachezaji January
 
kweli kabisa na huu ndio ukweli mchungu
 
I don't know why but Liverpool is playing very defensively this season and it's costing Liverpool heavily.

Sababu nyingine ni kukosa midfielder Ambaye anaweza kutembea na mpira (David Silva type) ambayo inawa force kina salah kurudi chini kuchukua mpira Na kuanza pass au counter attack.
 
Shida ilianza baada ya kuondoka yule kocha msaidizi wa klopp ,,yule jamaa ndo alikua mentor wa klopp ,
 
Wafiwa mnaendeleaje?

Jamani tunataka kutoa maturubai tuhamishie jijini Manchester hapo baadaye.
Bos MOU hanaga kuuzisha sura 2 times mkuu... Kumbuka wkend pia anakibarua cha kuweka heshima mjini.... Dont take it easy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom