Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Hao unaowaponda ndio waliwafikisha fainali msimu uliopitaMwanangu viungo Gini, Milner, Hendo hadhi yao wote kutokea Sub sasa kocha wetu ye lazima Gini awepo, na lazima kati ya Hendo au Milner awepo. Watu kama Lallana, Hendo ni wa kuuzwa. Kocha muoga anawaogopa waingereza
