Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.

Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.

Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.

Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.

Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.

Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.

Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani

Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.

Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.

Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
Hahahhahahaha daaaaaahhhhhhhhhhhh😂😂😂😂😂😂😂.
"Unategemea urithi mshua kapata nafuu"😂😂😂
Mkuu watangazie kabisa wale washibe maana kuna uwezekano mkubwa sana mgonjwa akapona, na msiba ikawa postponed.
We are UNITED💪💪💪💪💪💪💪💪
 
Aaa wapi leo lazima tuimbe mapambio tu.

"Tuonane paradiso.."
 
Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.

Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.

Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.

Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.

Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.

Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.

Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani

Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.

Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.

Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
ukisikia maiti inapiga chafya ndio leo

stay tuned
 
Klopp refusing kukubali kuwa midfield ni tatizo because his favorite players wanacheza kwenye hilo eneo.

this is what got Rodgers sacked.

how can you field a mid-3 of Gini/Milner/Lallana and expect to win games?

then he went on and subbed off TAA and Sturridge na kuacha the same midfield ambayo ndiyo ilikuwa the main suspect.

and what even the point of Pep Lijnders kama anashindwa hata kumshauri boss wake?
 
Game plan ya jana.

Hoof the ball to Mane and hope he beats a defender,

Hoof the ball to Salah and hope he beats a defender

These two are 5'7 wingers
 
Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.

Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.

Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.

Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.

Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.

Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.

Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani

Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.

Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.

Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
Hii hasara sijui utaipeleka wapi,mgonjwa Mungu anampigania,ameanza kufanya mazoezi madogo madogo.
 
Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.

Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.

Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.

Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.

Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.

Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.

Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani

Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.

Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.

Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
Huo sasa ni urozi wa waziwazi.
 
Swala la muda tu,ila lazima wawili wadondokee FUTUHI.
Majogoo lazima wabebe ndoo mwaka huu.
tapatalk_1541577024570.jpeg
 
Attachments

  • Fundi%20Juma%2020181026_074633.jpeg
    Fundi%20Juma%2020181026_074633.jpeg
    17 KB · Views: 25
We unaota ndoto za mchana rafiki yangu na labda hujui mpira ila wewe ni mshangiliaji wa mpira tu.sasa kwa kundi lipi hilo Liverpool ashindwe kufuzu au kufungwa na Napoli away ndo tatizo
Habari za mchana
 
Kwa hiyo Fekir hakusajiliwa sababu ya Lalana?

Na Jana mmefungwa sababu Lalana kacheza

Hiyo sio point niliyoizungumzia bali ni ufahamu wako.. Na tatizo tunaposhinda huwa hamuji badala yake munasubiri tukishafungwa ndiyo munakuja na Kutafsiri munavyotaka kile tunachokiongelea.

Kuna michezo tumeshinda na tumelalamikia mambo mengi kuhusu klop na baadhi ya wachezaji.

Tofauti na Rant Boys wa Chelshit na Nyinyi munavyoongelea kama kwamba tunalalamikia baadhi ya wachezaji kwasababu tumefungwa.

Hatukufungwa kwasababu ya Lallana ila tunacholalamikia Kwanink Kila Mchezo klopp anatuingizia sura mpya uwanjani hata kama Kilosi kilichoanza Msimu kilicheza vyema?

Kwamfano Mchezaji Kama Gomez na Firmino kulikuwa na sababu gani ya kuto kuwaanzisha? Hili ndiyotunalolilalamikia.

Huwezi ukamueka Juu Keita kwa Kumchezesha Lallan..
Wala huwezi mueka juu Firmino kwa kumchezesha Stùrridge..

Na kuhusu Fekir tunaikosoa bodi ya Waingereza Wa Liverpool kuona haina ulazima wa Kumsajili wakiamini kuwa Wana Mido na depth la kutosha lakina Lallana, OX na Hendo ambao ni Waingereza wenzao wasijekosa nafasi.
 
Kinachonifurahisha kwa hii thread.

Washabiki ambao team zinacheza mechi za alhamis (Europa) Hahahaha ndio wamekazania sana liver kupigwa jana.

Wanasahau kwamba mbali na madoido yao bado liver ana nafasi kubwa ya kuvuka hatua ya makundi, na zaid wanasahau kwamba katika team zao ambazo ni Oil chafu, hata huko EPL tumewaacha mbali, kiufupi hawafui dafu kwetu.

Jamani hapa tunajadili sababu za kufeli ili tufanye vyema next matches, sisi hatujazoea kufungwa ndomana mechi moja inatutoa roho.
Sahau
 
hakuna Top manager anayetumia hiyo formation kwasasa.

ni outdated, kama ilivyokuwa 4-4-2 back in 2008's

besides Klopp plays that formation to accomodate Milner/Hendo/Lallana, because Keita and Fabinho ni pivot oriented mids so 4-3-3 haiwafai hata kidogo.

and its funny because he won a lot of trophies at Dortmund akicheza na 4-2-3-1.

i understand, alipokuja LFC alikuta mids ambao siyo wazuri kwenye pivot, but then Club imenunua two pivot merchants, na wapo kwenye club kwa miezi 4 or so, na bado hatujui watacheza lini pamoja.

he reverted back to 4-2-3-1 and we scored eight goals in two games, then went back to 4-3-3 to accomodate milner and we drew against Arsenal and lost against Red star.
Wacha uongo wewe hata mpira huujui labda umeanza kufuatilia jana
  1. Man City wanatumia 4-3-3 PEP
  2. Chelsea wanatumia 4-3-3 Sarri
  3. Real madrid wanatumia 4-3-3 Solari
  4. Juventus wanatumia 4-3-3 Aleggri
List inaendelea na wewe unatudanganya mchana kweupe kuwa 4-3-3 imepitwa na wakati???????
Formation haiamui sana namna gani timu itacheza, hiyo ni mpangilio tu ya wachezaji wakaaje uwanjani na hizi formation huwa zinabadilika aidha kwa kuswitch wachezaji au kusub. Hizo timu zote nilizozitaja zinacheza vizuri na kuposess mpira
 
MosDef kuna watu kuwaQuote ni kujipotezea Muda Coz iwapo timu yake imeanzishwa 2004 jiulize hapa Bongo ilipata washabiki lini? Au yeye kaanza kuujua mpira lini? Usijeshangaa kuwa Kaanza kupenda mpira 2010 that is why in everything yupo pointless.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom