Ndoa jamani niache kushirikiana na majirani kwenye misiba???Hudumia ndoa wewe utaachika.
Ndoa jamani niache kushirikiana na majirani kwenye misiba???Hudumia ndoa wewe utaachika.
Napoli angepigwa ndio mngekuwa pazuri sana, maana kwa sasa kuna timu tatu ambazo zote zina possibility ya kwenda hatua ya 16. Swali, kati ya hizo nani ataenda Europa?
Kumbuka mna mechi ngumu na PSG ambaye atakuwa nyumbani lakini wakati huo huo bado hana uhakika wa kuvuka.
Pia, mna Napoli ambaye ni timu inaonesha ina uwezo, chini ya kocha mzoefu Aceloti lakini kubwa zaidi wana motisha ya kutaka kushinda maana wameona uwezekano wa kuvuka upo
Napoli angefungwa, hii challenge msingekuwa nayo
Any way, good luck
katimu kao chembamba sana mkuu yaani kana kikosi kimoja tu na tatizo linaloikabili ni fatigue maana wachezaji wale pendwa wametumika sana msimu uliopita kwa hiyo kwa sasa wapo hoi so wakijaribu tu kuingiza magarasa yao yaliyopo kule akiba ni mwendo wakuchezea kichapo tu............nakwambia haka katimu wangekapanga juzi tungewafumua HAMSA bila huruma........LOSERFOOL hii ni afadhali ya MAN UTD yko mkuu amini hivyoNajiuliza sana nini kimeikumba liverpool safar hii
mkiambiwa kitimu chenu chembamba mnaleta ushabiki maandazi hahahahaha ona sasa kumwanzisha dani na adam tu katimu hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii alafu ndio mchukue ubingwa na haka katimu hahahahahahahaha nahama JF
Kweli mkuu wasingetoka hawa naamini hilo nimeona mechi zao kuna mtu humu nilimwambia mmemfunga spurs lakin alikuwa bora alikataa vibaya sana.katimu kao chembamba sana mkuu yaani kana kikosi kimoja tu na tatizo linaloikabili ni fatigue maana wachezaji wale pendwa wametumika sana msimu uliopita kwa hiyo kwa sasa wapo hoi so wakijaribu tu kuingiza magarasa yao yaliyopo kule akiba ni mwendo wakuchezea kichapo tu............nakwambia haka katimu wangekapanga juzi tungewafumua HAMSA bila huruma........LOSERFOOL hii ni afadhali ya MAN UTD yko mkuu amini hivyo
katimu kao chembamba sana mkuu yaani kana kikosi kimoja tu na tatizo linaloikabili ni fatigue maana wachezaji wale pendwa wametumika sana msimu uliopita kwa hiyo kwa sasa wapo hoi so wakijaribu tu kuingiza magarasa yao yaliyopo kule akiba ni mwendo wakuchezea kichapo tu............nakwambia haka katimu wangekapanga juzi tungewafumua HAMSA bila huruma........LOSERFOOL hii ni afadhali ya MAN UTD yko mkuu amini hivyo
Mkuu liverpool hata msimu uliopita alikuwa na point kibao tu mwisho wa siku mkaanza kupigania top 4 sijaona mantiki yakeTeam
Team nyembamba lakin bado imeizidi team yako kwa points kuanzia EPL na UEFA ipo pazuri.
Hapo ukute we mshabik wa Arsenal
kwahiyo hao kina lallana ni wachezaji wa BIASHARA UNITED? mkiambiwa kikosi chenu kidogo hamkubali sasa kwahiyo wakiumia wachezaji 6 wa kikosi chenu pendwa mnatoa timu katika mashindano?Mkuu Malafyale jitahidi Kumtetea Kocha Wako lakini naamini ikosiku utajua Kuwa Klopp anakuja Vingunguti Kuvuta Bangi.
Na ipo Siku utakiri Hapa kuwa Klopp anapanga timu kuwaridhisha Waingereza..
Lallana? Milner? Sturridge?
Na ipo Siku utakiri kuwa chini ya Klopp haitatokezea kushinda Chochote.
wewe mbona unawategemea Salah,Mane na Filmino ambao wapo dhofulhal msimu huuMan U hii inayotegemea Lukaku na Rashford? Hahahaha hebu kuwa serious Mkuu,
Hatukatai kufungwa ndugu...but Lallana ahead of Keita kweli???
Matip ahead of Gomez?
Weka Fabinho number sita peleka Keita hapo juu. Klopp aache kuwaogopa waingereza bana, they are trash.
Mkuu liverpool hata msimu uliopita alikuwa na point kibao tu mwisho wa siku mkaanza kupigania top 4 sijaona mantiki yake[/QUOTE
Hebu taja team yako mkuu, mbona unaogopa?
Liverpool ni team kali sana kwa sasa, fans wanacholalamika ni strategies mbovu za kocha.
EPL na UEFA ni greenfield kabisa kwa Liverpool, ndio team ya uingereza pekee yenye matumain makubwa ya kusonga hata za 16 bora UEFA.
haha wahisi Napoli ni kibonde , Hiyo ni timu bora katika kundi na psg hafungiki kirahisi kwao. jiandaeni na EuropaDraw ya PSG na Napoli imetuweka pazuri sana!
Akikufunga psg ukatoa suluhu na napoli mchezo umeisha.Hebu taha
Kwa hiyo Fekir hakusajiliwa sababu ya Lalana?Yote kwa Yote Hii ndiyo Matokeo ya Kumkataa Fekir kisa tu eti Lallana amepona Majeruhi.
Now let us enjoy Shoo ya Lallana inayoprove that we are right Kumkataa Fekir because of him ha ha ha ha ha ha ha ha
kwahiyo unataka kusemaje sasa hapo? tuinue mabango ya KLOPP OUT au?Hii timu akipewa benitez tunabeka kombe Klopp ni fala
hahahahahaha nimecheka sana hivi unaanzaje kumpigia hesabu mchezaji wa OLIMPIC LYON na wewe katika benchi una wachezaji lukuki huku ndio KUPATWA KWA SOKAKwa hiyo Fekir hakusajiliwa sababu ya Lalana?
Na Jana mmefungwa sababu Lalana kacheza
Mkuu usilie lie sana. Hakuna timu hisiyofungwa hata Kama ni Bora kiasi gani. Kubali kushindwa tu. Wachezaji wote wanauwezo mkubwa wa kucheza mpira ndiyo maana wamesajiliwa anfield.Kuanza Sturidge jana niliona kafanya kitu hasa ukiangalia mambo anayoyafany firmino hizi mechi za karibuni...
Lakini hapo kati waliotakiwa kuwa bench walianza na waliotakiwa kuanza wakakaa bench... yani huyo Milner sijawai kuamin kama atakuja kutupa makombe cuz alikotoka ni kama alitemwa!
Unamuachaje nje Fab Keita na Shaqiri halafu kocha mpaka leo eti hana 1st eleven kama sio upuuzi ni nini au kwamba Buvac ndo aliondoka na ubongo wa klopp!
Na kuna haja gani ya kusajiri kama ameshaona tayari anakikosi chake maalumu na kimekamilika huyu jamaa ni mtu wa ovyo tena mlamba miguu ya waingereza!
Tulia dawa ikuingie. Husije pata personal conflict kisa klopp.Mkuu mimi sina Mashaka na Timu yangu kwani Naamini Tuna Timu Nzuri ya Kupambana! Mimi Mashaka Yangu Yapo Kwenye Mikakati ya Klopp mpaka sasahivi bado sijamsoma hasa anafanya Nini!!!
Lakini kwa Timu hiihii tuliyonayo iwapo Klopp atakuwa na good Strategies Nabelieve kuwa Hao Chelshit na Arsen8 wataishia Kupiga kelele tu lakini hawawezi Kumaliza EPL juu ya Liverpool.
Siku Klopp anayoamua tushinde game basi tunashinda, Lakini Jana sikujua Mantiki Ya Kumueka Juu Gomez, Firmino na Fabinho... Keita nampa excuse kuwa hana Match fitness..
Na Sikuona sababu ya Kumpanga Matip, Lallana na Sturridge coz hawa inajuilikana wazi kuwa Si wachezaji Wa Kuanza Bali Ni Squad Players.
So, Klopp jana katufanyia utani...
Still I've some hope kwenye EPL