lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Spurs kashinda 2-1England this tym inatia huruma sana kwenye UEFA naona Tottenham kashapigwa cha mapema kbsa. Only Man City anaweza kutuwakilisha vema
Spurs kashinda 2-1England this tym inatia huruma sana kwenye UEFA naona Tottenham kashapigwa cha mapema kbsa. Only Man City anaweza kutuwakilisha vema
Kikosi kilitimia wacheni visingizio, kipa bora alikuwepo, beki bora alikuwepo na washambuliaji wote bora walikuwepoNilisema juzi Klopp ni kocha mpuuzi kuwahi kutokea Liver, mechi muhimu kama hii unapanga kikosi cha ksen.g namna hii.
Mechi ya Arsenal ndio niliconfirm Liverpool ni timu mbovu, beki ndio zlikuwa zinasambaza mipira na kushambulia, Viungo na washambuliaji ukimuondoa MO Salah hawakuwepo uwanjani kabisaAcha uongo. Katika kikosi cha leo ni Lallana labda na Sturridge ndio hawakucheza mechi na Arsenal. Kubali kufungwa tu
Kila timu na project yake ya arsenal yanatuhusu nini sisi?Mpito kila msimu kocha ana miaka mi3 yote hiyo na arsenal tuseme nini ambao kocha ana miezi 6 tu.
Pole mkuu. Hiyo ungeweka leo kwa united anamlaza Juve 1-2 ungepiga maisha sanaDaa wamechana 150k
Napoli angepigwa ndio mngekuwa pazuri sana, maana kwa sasa kuna timu tatu ambazo zote zina possibility ya kwenda hatua ya 16. Swali, kati ya hizo nani ataenda Europa?Draw ya PSG na Napoli imetuweka pazuri sana!
Mkuu mbona povu, ndoa na Liver kupigwa vina mahusiano gani?Hudumia ndoa wewe utaachika.
Hapana hilo la waingereza sio kweli ila kwa jana usiku kakosea line up hakuwapa heshima wale jamaa alikuwa anataka kujifanya too smart. lazima tukubali tuna seriou problem katika viungo na sikuona sababu kabisa ya Gomez kuanza bench pale kocha akubali kachemsha mechi ya jana. wale sio wakutufunga naamini leo akiambiwa rudiana nao tena atakuwa katika akili.Matip ni muingereza?
Kama sio Matip angeanza Gomez mbina nae ni muingereza?
TUmefungwa kama team hamna wa kumlaumu
Kuanza Sturidge jana niliona kafanya kitu hasa ukiangalia mambo anayoyafany firmino hizi mechi za karibuni...Klopp ni mpuuz hana definitive firts eleven, huyo ni kocha kwel? Lallana, strrg unaweka waanze ili wagundue nini?
Yani hizi week mpira tuna unga unga tu, mifield mbovu yan upuuz mtupu
Napoli angepigwa ndio mngekuwa pazuri sana, maana kwa sasa kuna timu tatu ambazo zote zina possibility ya kwenda hatua ya 16. Swali, kati ya hizo nani ataenda Europa?
Kumbuka mna mechi ngumu na PSG ambaye atakuwa nyumbani lakini wakati huo huo bado hana uhakika wa kuvuka.
Pia, mna Napoli ambaye ni timu inaonesha ina uwezo, chini ya kocha mzoefu Aceloti lakini kubwa zaidi wana motisha ya kutaka kushinda maana wameona uwezekano wa kuvuka upo
Napoli angefungwa, hii challenge msingekuwa nayo
Any way, good luck
Liverpudlians wenzangu, why all this doom and gloom vibe? khofu yenu ni nini khaswa?
granted...like everybody else, season yetu itakuwa na ups & downs kadhaa lakini there's a lot of hope kwamba come May 2019 it's more than likely that we'll be stocking one of (or both) the EPL / UCL championship top slots.
just look at the bigger picture on where we're placed in both competitions at the moment....
we're joint 2nd in the EPL, trailing by 2 points only, having played away to 3 of the top 6 and bagging 5 points in the process.
we're joint top in our UCL group.
am sure many teams (Manure, Chelshit, etc included) would have jumped at swapping places with us if such a chance were offered to them.
calm down my people, calm down.
jana tulikuwa na matatizo makuu 2:Mkuu mimi sina Mashaka na Timu yangu kwani Naamini Tuna Timu Nzuri ya Kupambana! Mimi Mashaka Yangu Yapo Kwenye Mikakati ya Klopp mpaka sasahivi bado sijamsoma hasa anafanya Nini!!!
Lakini kwa Timu hiihii tuliyonayo iwapo Klopp atakuwa na good Strategies Nabelieve kuwa Hao Chelshit na Arsen8 wataishia Kupiga kelele tu lakini hawawezi Kumaliza EPL juu ya Liverpool.
Siku Klopp anayoamua tushinde game basi tunashinda, Lakini Jana sikujua Mantiki Ya Kumueka Juu Gomez, Firmino na Fabinho... Keita nampa excuse kuwa hana Match fitness..
Na Sikuona sababu ya Kumpanga Matip, Lallana na Sturridge coz hawa inajuilikana wazi kuwa Si wachezaji Wa Kuanza Bali Ni Squad Players.
So, Klopp jana katufanyia utani...
Still I've some hope kwenye EPL
Fekir wouldn't have done it for me.Yote kwa Yote Hii ndiyo Matokeo ya Kumkataa Fekir kisa tu eti Lallana amepona Majeruhi.
Now let us enjoy Shoo ya Lallana inayoprove that we are right Kumkataa Fekir because of him ha ha ha ha ha ha ha ha