Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp is the only manager in the world who plays 4-3-3 formation in 2018.

so clueless.
hii formation when t clicks t th best...ila sasa huu mfumo ukifail Klopp hua mzito sana kubadili ngia anagani...
with the right players 4 3 3 can be a success.
kwa sasa inatu cost...Klopp should use Jan window ya usajili wisely...
 
jana tulikuwa na matatizo makuu 2:

1. Klopp ali goof kwenye line up
2. poor mentality ya wachezaji waliodhani Red Star ni mteremko baada ya ile 4-0

Kocha wako ameulizwa, "Tuambie sababu za nyie kufungwa."

Akajibu, "Tatizo nina vidole 10 tu (akimaanisha sababu zinazidi idadi ya vidole vyake vya mikono)."
 
inawezekana ziko zaidi ya 10 lakini kuu ni hizo 2 nilizozitaja!
 
Kinachonifurahisha kwa hii thread.

Washabiki ambao team zinacheza mechi za alhamis (Europa) Hahahaha ndio wamekazania sana liver kupigwa jana.

Wanasahau kwamba mbali na madoido yao bado liver ana nafasi kubwa ya kuvuka hatua ya makundi, na zaid wanasahau kwamba katika team zao ambazo ni Oil chafu, hata huko EPL tumewaacha mbali, kiufupi hawafui dafu kwetu.

Jamani hapa tunajadili sababu za kufeli ili tufanye vyema next matches, sisi hatujazoea kufungwa ndomana mechi moja inatutoa roho.
 
Khe khe khe khe khe kheeeeeee

Sisi kuja kuhani msiba tunaonekana wabaya sio
Kinachonifurahisha kwa hii thread.

Washabiki ambao team zinacheza mechi za alhamis (Europa) Hahahaha ndio wamekazania sana liver kupigwa jana.

Wanasahau kwamba mbali na madoido yao bado liver ana nafasi kubwa ya kuvuka hatua ya makundi, na zaid wanasahau kwamba katika team zao ambazo ni Oil chafu, hata huko EPL tumewaacha mbali, kiufupi hawafui dafu kwetu.

Jamani hapa tunajadili sababu za kufeli ili tufanye vyema next matches, sisi hatujazoea kufungwa ndomana mechi moja inatutoa roho.
 
hii formation when t clicks t th best...ila sasa huu mfumo ukifail Klopp hua mzito sana kubadili ngia anagani...
with the right players 4 3 3 can be a success.
kwa sasa inatu cost...Klopp should use Jan window ya usajili wisely...

hakuna Top manager anayetumia hiyo formation kwasasa.

ni outdated, kama ilivyokuwa 4-4-2 back in 2008's

besides Klopp plays that formation to accomodate Milner/Hendo/Lallana, because Keita and Fabinho ni pivot oriented mids so 4-3-3 haiwafai hata kidogo.

and its funny because he won a lot of trophies at Dortmund akicheza na 4-2-3-1.

i understand, alipokuja LFC alikuta mids ambao siyo wazuri kwenye pivot, but then Club imenunua two pivot merchants, na wapo kwenye club kwa miezi 4 or so, na bado hatujui watacheza lini pamoja.

he reverted back to 4-2-3-1 and we scored eight goals in two games, then went back to 4-3-3 to accomodate milner and we drew against Arsenal and lost against Red star.
 
Kinachonifurahisha kwa hii thread.

Washabiki ambao team zinacheza mechi za alhamis (Europa) Hahahaha ndio wamekazania sana liver kupigwa jana.

Wanasahau kwamba mbali na madoido yao bado liver ana nafasi kubwa ya kuvuka hatua ya makundi, na zaid wanasahau kwamba katika team zao ambazo ni Oil chafu, hata huko EPL tumewaacha mbali, kiufupi hawafui dafu kwetu.

Jamani hapa tunajadili sababu za kufeli ili tufanye vyema next matches, sisi hatujazoea kufungwa ndomana mechi moja inatutoa roho.
hahahahahaha tunakusubiri huko FUTUHI ...........eti hamjazoea kufungwa wakati katika maisha yangu tangu nizaliwe mpaka leo hii nimeoa na nna familia yangu ila sijabahatika kushuhudia hawa LOSERFOOLS wakichukua EPL sasa sijui inakuwaje kama mnafeli kuchukua kombe ila mnakuwa UNBEATEN hahahahahahah hii ni comedy
 
kuna habari gani??

Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.

Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.

Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.

Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.

Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.

Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.

Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani

Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.

Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.

Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
 
kuwa na huruma mkuu....wenzio wamefiwa kweli unawapa majukumu mengine kabla ya tatu kuisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom