Its all about Klopp useless experiments we were in a big trouble tonight.Starting TAA was a mistake...Dropping Gomes for Matip was a blunder...Starting Lallana while you have a fit Keita was a kind of schizophrenia...Sticking with 4-3-3 especially when you have unpacy Sturridge was very an f...word.
The second goal...Gini accompaning the scorer the same way the bestman leads the grooms...very wonderful.Matip makes sure that the scorer reaches his destination to find a good target...very irritative.And...funny enough on bench you have Gomes,Keita,Fabinho...
Kama kocha unasajili wachezaji halafu bado unawakumbatia waliokufanya usajili bila kujali gharama,una matatizo.Waingereza wote ukiacha Milner hawakupaswa kuanza game ya leo.Lakini wakati fans tunafikiria ni muda wa kufanya kweli na kuweka mzaha pembeni,kocha anaona ni muda sahihi wa kufanya experiments zake!
Muda unavyozidi kusonga Klopp anakuwa kocha mbovu zaidi.Ana kikosi kizuri kuliko cha msimu uliopita lakini amekosa mbinu sahihi.Amekariri limfumo limoja as if ni dini yake.Halafu eti unamwingiza Origi!!kufanya nini?Atakwambia kuongeza nguvu ya ushambuliaji!Sasa ndo Origi?Ambaye hajacheza hata mechi moja msimu mzima?Hizi kama sio experiments za kipuuzi ni nini?
Baada ya Arsene Wenger namuona Klopp akichukua nafasi yake.Kuchezacheza tu mpira bila plan wala target.Mwisho wa siku mnaambiwa mlikuwa washindani wazuri...mnajipanga kwa msimu mwingine mje msisimue zaidi!!
Unaogopa nini kuwaweka nje wachezaji wa kiingereza?Soccer management yako inakuwa ipi hapo?Kwa nini ulitumia hela nyingi kusajili.
Bad enough the good players like Keita and Fabinho are slowly becoming unhappy.Looking on their faces i see they start yo regret being under this kind of manager who want to ruin their carrier...