Kamati ya mapishi niweke Mimi.Naona vilio vimetawala humu ndani, polen sana watani. Tutaanza kutangaza ratiba ya mazishi muda sio mrefu wagen karibun.
Ngoja nikaazime masufuria kabisa.
Kamati ya mapishi niweke Mimi.Naona vilio vimetawala humu ndani, polen sana watani. Tutaanza kutangaza ratiba ya mazishi muda sio mrefu wagen karibun.
Pole mkuu.hAMNA HAJA YA KUANZA KULUMBANA
Imefungwa Liverpool yote
Haina maana yyt ya kuanza ku single out wachezaji





hAMNA HAJA YA KUANZA KULUMBANA
Imefungwa Liverpool yote
Haina maana yyt ya kuanza ku single out wachezaji
Lakinu usishangae sub kipindi cha pili akawa ni Dan wala si Lallana au Milner
Ndomana alipata matokeo mabovu dotmond kocha hatujapata badoNishamshusha vyeo kocha huwezi kutumia pauni 100+ mil kuweka benchi
Miss kesho msiba utahamia kwako.Pole mkuu.
Naona hata mwandiko wako una machozi![]()
Hah hah.. Mtaalam wa vigodoro upo hapa.. Nawaonea huruma kwa kweliHuwezi acha wafiwa walale wenyewe.
Watajidhuru ..lazima tukeshe nao.
Juzi nilisema Mane anacheza vizuri kuliko hata Salah lakini hapewi sifa anayostahili kuna mashabiki wa Salah walikja kunipopoa ikabidi nipoe tu! Lakini tunaoumia ni sisi mashabiki wala si hao team salah team hendo team milner... hawa watatufanya tuendelee kuuskizia tu ubingwa
Hao usiwaonee huruma.Hah hah.. Mtaalam wa vigodoro upo hapa.. Nawaonea huruma kwa kweli
Wewe subiri kesho tuna amishia msiba kwako.Unausemea moyo ushakuwa mganga wa kienyeji sasa beba tunguli na shanga kiunoni.
Hahahhahahaha, haina shida utakuja kutufariji.Miss kesho msiba utahamia kwako.
Sasa baba wewe ambaye uiabishi si uwepo basi ukapambane. Kuna aliyekuzuia kutokuwepo huko?Wewe subiri kesho tuna amishia msiba kwako.
Nyie Liverpool na Man u mmebaki majina tu ..Uefa uko mnaenda kuihaibisha England...
Hahhahahhahahaa eti hata kama marehemu alikuwa na mdomo sana




.

.