Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Juzi nilisema Mane anacheza vizuri kuliko hata Salah lakini hapewi sifa anayostahili kuna mashabiki wa Salah walikja kunipopoa ikabidi nipoe tu! Lakini tunaoumia ni sisi mashabiki wala si hao team salah team hendo team milner... hawa watatufanya tuendelee kuuskizia tu ubingwa
 
Hivi vitimu vyingine bana. Mnanunua beki kwa pesa kibao afu hamjui kudefend. Matatizo sana.
 
Hamna haja ya kulaumiana,ndiyo soka!
Hata Man City alifungwa na Lyon kwake,ndiyo soka
Na leo imethibitishwa kuwa tatizo la Liverpool sio Hendo wala Lovren
Tunarudi nyumbani tunajipanga kwa mechi zijazo
Liverpool HAIJATOLEWA
 
HENDO na Lovren wamecheza?
Nipo kazini mkuu

Point yangu ya Juzi niliyokwambia Klopp anapanga timu kuwaridhisha Waingereza na Leo pia ipinge.

Hao Hendo na Lovren ndiyo hao hao Vipenzi vya Waingereza tu hawana lolote..

Sasa kuondosha Lovren ukaweka Matip tofauti ipo wapi?

Kuondosha Henderson ukaweka Lallana tofauti ipo wapi?

Ndiyo walewale tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom