Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,000
- 998
kuna watu humu walikuwa wanauliza faoda ya golikipa ghari nazani leo wameona faida ya beki ghali duniani
Hahaaa na jamaa haliwez kuja , mpaka patulieHapa kila mtu anamsaka Malafyale limechimba
Leo tu unasema hamna timu kweli.Hakuna timu hapa Mkuu
hii ndio huwa sifa ya mashabikiHamna haja ya kulaumiana,ndiyo soka!
Hata Man City alifungwa na Lyon kwake,ndiyo soka
Na leo imethibitishwa kuwa tatizo la Liverpool sio Hendo wala Lovren
Tunarudi nyumbani tunajipanga kwa mechi zijazo
Liverpool HAIJATOLEWA
Hao ndo ma-striker wenu?HENDO na Lovren wamecheza?
Nipo kazini mkuu
Ni kweli huyu jamaa inasemekana ndiye mwenye mikoba ile ya GEGEN PRESSINGKlopp bila buvac ni kiuno bila mfupa
Mkuuu una propaganda za kiwango cha lami. Nakufananishaga na mkuu wa mkoa wa TaboraHamna haja ya kulaumiana,ndiyo soka!
Hata Man City alifungwa na Lyon kwake,ndiyo soka
Na leo imethibitishwa kuwa tatizo la Liverpool sio Hendo wala Lovren
Tunarudi nyumbani tunajipanga kwa mechi zijazo
Liverpool HAIJATOLEWA
Sasa mida yetu ya kulifunga turubai majirani na kuwafariji wafiwa.Naona watoto washalishusha turubai, bado kulifunga si majirani tunajiuliza je msiba utakuwepo.
VVD na Gomez hawakwepo.Leo nini kimempata?? Au yule VVD na Gomez hawapo? Me nikajua ni Mignolet..
Inaonyesha umekata tamaa. Huna imaniNdivyo nilivyoandika?
Hapa nimeamini sasa toka msimu uanze sijaona pressing kaliNi kweli huyu jamaa inasemekana ndiye mwenye mikoba ile ya GEGEN PRESSING
Hao ndo ma-striker wenu?
Lakini ipo kwenye hatari ya KUTOLEWA.Hamna haja ya kulaumiana,ndiyo soka!
Hata Man City alifungwa na Lyon kwake,ndiyo soka
Na leo imethibitishwa kuwa tatizo la Liverpool sio Hendo wala Lovren
Tunarudi nyumbani tunajipanga kwa mechi zijazo
Liverpool HAIJATOLEWA
Huyu kocha licha ya kua ni mzuri sometime naona anaweza kukaa miaka kumi liver bila kombe, muda mwingine naona bora atimuliwe tu mbona ukame tushazoea maana huwezi kua na timu imekamilika kwa karibu asilimia 85 halafu haueleweki lengo lako lipi?
Unausemea moyo ushakuwa mganga wa kienyeji sasa beba tunguli na shanga kiunoni.Inaonyesha umekata tamaa. Huna imani