Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tangu watoke sare na Gooooner wanajiona Boooomba. Kumbe wepesi kama unyoya. Poleni
 
Kwani wafiwa wamejificha wapi??
Njooni atiii YOU WILL NEVER WALK ALONE.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].tupo hapa kuwafariji.
 
Kuna yule Liverpool unatusumbua sana kwenye special thread ya Arsenal. Naona yuko kitandani hoi
 
Tukifungwa ndiyo tatizo la team selection
Tukishinda Klopp is genius
Jamani hata Pep alifungwa CL tena kwake tena trash Lyon
Kufungwa kawaida mbona ktk soka?
Liverpool haijatolewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamejikunyata huko walipo...
Wajitokeze tuu watatuachaje waombolezaji tuomboleze wenyewe???
 
Mkuu mbona haupokei pole yangu??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamejikunyata huko walipo...
Wajitokeze tuu watatuachaje waombolezaji tuomboleze wenyewe???
Napoli akifungwa na PSG leo Liverpool kwa heri
 
Tukifungwa ndiyo tatizo la team selection
Tukishinda Klopp is genius
Jamani hata Pep alifungwa CL tena kwake tena trash Lyon
Kufungwa kawaida mbona ktk soka?
Liverpool haijatolewa

Klopp ni mpuuz hana definitive firts eleven, huyo ni kocha kwel? Lallana, strrg unaweka waanze ili wagundue nini?

Yani hizi week mpira tuna unga unga tu, mifield mbovu yan upuuz mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom