Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na EPL je mnaweza kulipata?

Na toka 2011 mpaka leo umeshuhudia nini
Mzee baba league nimenyanyua mara kibao tu. Huko kwenye UEFA ambako ww umewekwa maranking ya juu una makombe mangap? Mara ya mwisho kuchukua ulikuwa una miaka mingap
 
Nimechukulia huo mwaka maana toka hapo sijasikia mmebeba chochote, mmebaki na historia ,nenden makumbusho bas
Mbona nyie hamna hiyo historia? Na tangu mmeanza kushinda mmeshampita Liver makombe mangapi? Community shields? Ama
 
Mzee baba league nimenyanyua mara kibao tu. Huko kwenye UEFA ambako ww umewekwa maranking ya juu una makombe mangap? Mara ya mwisho kuchukua ulikuwa una miaka mingap
Epl umenyakua wapi? Labda uliibe nioneshe picha mkiwa na EPL
 
Koeman bado hamuamini saana VVD
Screenshot_2018-10-10-07-04-44.jpeg
 
Liverpool imeweza vuka salama ratiba ngumu kweli kweli!
Tunaenda International break na kurudi kucheza na HUDD,Fulham,Cardiff,Watford na Arsenal
Mechi hizi 5 akina Salah watafunga sana
Kumbuka kuwa Liverpool mnafungwaga na vijitimu vidogo na nafikiri kwa sababu mnavizarau! Tudubiri tuone
 
"Mo Salah alichofanikiwa kuja nacho msimu huu kutoka msimu ulopita ni nywele tu na ndevu zake.." Mawingu FM

"Kama Salah ni mwanaume kweli, arudie kufanya alichofanya msimu ulopita.." DaudaShaffih
Msimu uliopita na huu kwa idadi ya mechi Mo Salah ana tofauti ya goli moja tu, m3 nafikiri mechi bado ni nyingi
 
Nani bado hayaogopi majogoo?
Mpaka sasa jogoo yupo nafasi ya 3. waliopo juu yake hawamuogopi. maana alinitahidi sana kupambana nao ili akae hapo juu akashindwa. wakamporomosha nafasi ya 3. walikuwa wanataka kumchinga awe supu akajitetea eti anamaumivu ya mechi za nyuma. mechi ya chelsea aliponea dakika za mwisho. ya mancity nayo dakika za mwisho. nilisikia wakishangilia dakika 86 nikajua wamepata goli kumbe ni kisu kilikataa kumchinja. wakashangilia.
 
a very dull game... LFC vs M.City. so dreadful.

kinachotubeba tangu msimu huu uanze ni ile focus yetu tunapokuwa hatuna mpira pamoja na solidity kwenye defence.

naona front 3 yetu kweli bado haijakaa vizuri. ..poor first touch and, worse, poor final ball. but am sure soon watarejea kwenye kiwango cha msimu uliopita. hapo ndipo timu itakuwa ipo nearly 100% na sidhani kama kutakuwa na wa kutuzuia all the way.

sasa hivi performance ipo around 70% only lakini we dominated Chelsea at their own backyard (S/bridge) and we bullied a star-studded PSG...sasa imagine tukiwa 100% nani wa kutusimamisha?[/QUOTE

Last season unayosema ni ipi uliyokuwa 100% City first leg alikupiga 5 kwa 0. ukaja ukamfunga 4 kwa 3. hapa tunaongelea epl. kama unaongelea uefa. kwa kweli uefa mlikuwa wazuri sana. na salaa alipoumia tu ndo kilikuwa kipogo chenu. epl mliachwa na point nyingi sana.
 
Kumbuka kuwa Liverpool mnafungwaga na vijitimu vidogo na nafikiri kwa sababu mnavizarau! Tudubiri tuone

Naona Bado Unakariri Ya Miaka ya Juzi!!!

Liverpool ilishaacha Zamani hiyo Tabia...
Hata Msimu uliopita hatukuwa na Hiyo tabia ya Kupigwa na Vijitimu vidogo.
Na Msimu Huu Vitano tumeshacheza nyavyo na Havikuambulia Hata sare.
 
Haya mimi nimefungwa na hao wakubwa, haya nakupumulia point 2 nyuma

Wewe kombe lako kuwafunga wakubwa tu?
kwa miaka ya hapa karibuni ili uchukue ubingwa ni lazima uweze kuzishinda timu kubwa au kutoa sare,tunasema arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto sababu huwezi mfunga chelsea,liverpool,man u,man cty labda ambaye una uhakika nae kuwa utamufunga ni tottenum tu.
 
kwa miaka ya hapa karibuni ili uchukue ubingwa ni lazima uweze kuzishinda timu kubwa au kutoa sare,tunasema arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto sababu huwezi mfunga chelsea,liverpool,man u,man cty labda ambaye una uhakika nae kuwa utamufunga ni tottenum tu.
Endelea kukariri, utachukua wewe
 
List of countries that didn’t exist the last time Liverpool won the league 😂

May 22, 1990 - Yemen
April 9, 1991 - Georgia
June 25, 1991 - Croatia
June 25, 1991 - Slovenia
August 21, 1991 - Kyrgyzstan
August 24, 1991 - Russia
August 25, 1991 - Belarus
August 27, 1991 - Moldova
August 30, 1991 - Azerbaijan
Sept. 1, 1991 - Uzbekistan
Sept. 6, 1991 - Latvia
Sept. 8, 1991 - Macedonia
Sept. 9, 1991 - Tajikistan
Sept. 21, 1991 - Armenia
October 27, 1991 - Turkmenistan
November 24, 1991 - Ukraine
December 16, 1991 - Kazakhstan
March 3, 1992 - Bosnia and Herzegovina
January 1, 1993 - Czech Republic
January 1, 1993 - Slovakia
May 24, 1993 - Eritrea
October 1, 1994 - Palau
May 20, 2002 - East Timor
June 3, 2006 - Montenegro
June 5, 2006 - Serbia
February 17, 2008 - Kosovo
July 9, 2011 - South Sudan


😂🤣😁😅😀🤣😂🤣
 
A chelsea Fan posted:

*KLOPP AT LIVERPOOL*

*3 years at Merseyside*

*Money spent = £672M*
*Trophies = 0*
*Hugs =18000*
*Total pressing = 21000*
*Touchline antics=3400*
*Unnecessary laughter= 4543*
*Toothpaste used=150*
*Spectacles broken=15*


Liverpool Fan Replied:

Maurizo Sarri
Whole life - 90 years
Trophies won - 0
Cigarettes smoked - 1.7 million packs
Oversized shirts worn -568
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom