lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Liverpool hii hii ya mwaka jana mwaka huu na hata mileleLiverpool ya mwaka gani hiyo?
Its coming home baby
Liverpool hii hii ya mwaka jana mwaka huu na hata mileleLiverpool ya mwaka gani hiyo?
Its coming home baby
liverpool wamecheza nyepesi?Hao unaowaona wabovu ndio wanaokunyimaga ubingwa toka mwaka 1990,
Arsenal kacheza mech ngumu, lakin now anakupumulia point 2,
Nilisema Mo Salah atarudi akiwa chini ya kiwango zaidi, tusubiri wiki keshoLiverpool leo pona yenu ni kwamba mmfunge Man City, vinginevyo mtapata tabu sana. Kadri mnavyofungwa ndivyo timu inavyokosa kujiamini. Na nawahakikishia Sarah atatoka kwenye international break amepungua sana kiwango.
Na ambacho Liverpool hamfahamu ni kwamba msimu uliopita ndiyo peak ya Sarah. Hivyo ametumia nishati kubwa sana msimu uliopita na amedrain kiasi kikubwa cha energy.
Tehe tehe teheeeList of countries that didn’t exist the last time Liverpool won the league
May 22, 1990 - Yemen
April 9, 1991 - Georgia
June 25, 1991 - Croatia
June 25, 1991 - Slovenia
August 21, 1991 - Kyrgyzstan
August 24, 1991 - Russia
August 25, 1991 - Belarus
August 27, 1991 - Moldova
August 30, 1991 - Azerbaijan
Sept. 1, 1991 - Uzbekistan
Sept. 6, 1991 - Latvia
Sept. 8, 1991 - Macedonia
Sept. 9, 1991 - Tajikistan
Sept. 21, 1991 - Armenia
October 27, 1991 - Turkmenistan
November 24, 1991 - Ukraine
December 16, 1991 - Kazakhstan
March 3, 1992 - Bosnia and Herzegovina
January 1, 1993 - Czech Republic
January 1, 1993 - Slovakia
May 24, 1993 - Eritrea
October 1, 1994 - Palau
May 20, 2002 - East Timor
June 3, 2006 - Montenegro
June 5, 2006 - Serbia
February 17, 2008 - Kosovo
July 9, 2011 - South Sudan
🤣
🤣
🤣
Uzuri sibishani pekee yangu, lazima tunakuwa wawili ,AARON
Naona huko busy kubishana....achana na ubishani usio na tija badala yake jikite kwenye uchambuzi wa soka la klabu yetu....jukwaa ni kwa ajili ya Liverpoo:l na Ubora na Udhaifu wake





Klopp (3 years)
0 Premier League
0 Champion's League
0 Europa League
0 FA Cup
0 League Cup
What fun started?
Napoli ndio pekee walienda wanalivizia jogoo ikafikia hatua wakamtia kisu jogoo kwishney kabisaMpaka sasa jogoo yupo nafasi ya 3. waliopo juu yake hawamuogopi. maana alinitahidi sana kupambana nao ili akae hapo juu akashindwa. wakamporomosha nafasi ya 3. walikuwa wanataka kumchinga awe supu akajitetea eti anamaumivu ya mechi za nyuma. mechi ya chelsea aliponea dakika za mwisho. ya mancity nayo dakika za mwisho. nilisikia wakishangilia dakika 86 nikajua wamepata goli kumbe ni kisu kilikataa kumchinja. wakashangilia.
Salah kaumia jana
Lkn sio injury kubwa
Hizi mechi zifuatazo tunamhitaji aanze kufunga tena
Teh Teh...
Shida iko Kwa viungo wenu ni mabutu, viungo wenu wa kati ni mizigo. Hawafungi hawatoi assist ni mizigo tu
Najua umechangia huku Ukiwa umejaa povu.Wijnalduma as Defensive Midfielder in EPL:
√ 1 goal
√ 1 Assist
Joginho in EPL:
× 0 goal
× 0 Assist
Unaweza Kubring Stats Za Goal and Assist Between Milner vs Kante If you Don't Mind..
Ninajua Kuwa Umejifunza Karibuni Kupenda Mpira but tuulize Kwanza Kabla Ya Kupost Chochote.
Have a good luck.
Liva msimu kwa kundi lile la UCL sitashangaa mkija ueropa,
Maana yule kibonde kila mtu atakufa naye, shughuri ipo ,game ya 2 kwa psg hakuachi, napoli hakuachi
Karibuni europa
Liva msimu kwa kundi lile la UCL sitashangaa mkija ueropa,
Maana yule kibonde kila mtu atakufa naye, shughuri ipo ,game ya 2 kwa psg hakuachi, napoli hakuachi
Karibuni europa