SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Nyie Arsenal mmeekwa kwenye kundi gani na timu kubwa hapo UEFA?Hivi wewe hata top 4 kwako si ulikuwa msala? Wewe ulikuwa unagombania kwenda ueropa, napo ukakutana na UNAI akawanyoosha,
Hivi hujui liva ilishakuwa timu ndogo maana ilishindwa hata kwenda europa ,mpaka alipokuja klopp?
Je unajua mpaka UEFA walishawaweka kundi la timu ndogo mpaka leo?
Je unajua mpaka sasa rank za UEFA Arsenal yupo juu ya liver?
= 0
=18000
= 4543

