SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Au hilo sio mafanikio?
Kwan EPL umeshinda lini?Baba, kati ya ww na Liver nani kashinda UEFA league recently? Nayo ni zaman ya bibi?
Baba kwan MPIRA UMEANZIA 2011? Hivi tuseme kila timu iseme tuanzie hapa tuanziea hapa, ama?Kwan EPL umeshinda lini?
Bas tuje hapa , toka 2011 umeweka nini kabatini?
Unajua UEFA sio wajinga kuwashusha hdhi na sasa mmekuwa timu ndogo
We have 5 UEFA League cups. How about you? Hata 2 unazo?Kwan EPL umeshinda lini?
Bas tuje hapa , toka 2011 umeweka nini kabatini?
Unajua UEFA sio wajinga kuwashusha hdhi na sasa mmekuwa timu ndogo
We have 3 EPL TITLE ,how about you?We have 5 UEFA League cups. How about you? Hata 2 unazo?
Hata pia experts sio wajinga kukuweka ww chini ya Liver in terms ya mafanikio nchini Uingereza. We are among the European elites, what about you man? Unaenjoy ranking while we have cups?Kwan EPL umeshinda lini?
Bas tuje hapa , toka 2011 umeweka nini kabatini?
Unajua UEFA sio wajinga kuwashusha hdhi na sasa mmekuwa timu ndogo
Eti league ya Uiengereza ilianza lini?We have 3 EPL TITLE ,how about you?
We have 1 EPL GOLDEN TITLE, how about you?
View attachment 892494
Hizo cups ameshuhudia bibi yako, wewe toka 2011 mpaka leo unfurahia nini hapo liva?Hata pia experts sio wajinga kukuweka ww chini ya Liver in terms ya mafanikio nchini Uingereza. We are among the European elites, what about you man? Unaenjoy ranking while we have cups?
Unajua hili?Eti league ya Uiengereza ilianza lini?
Hata kama kaenjoy kitukuu, it is our pride. Ndo maana ww mwnyew upo hapa wafoka kuhusu mwaka ulioshinda EPLHizo cups ameshuhudia bibi yako, wewe toka 2011 mpaka leo unfurahia nini hapo liva?
Mm nimeshuhudia msimu...mzima sifungwi,Hata kama kaenjoy kitukuu, it is our pride. Ndo maana ww mwnyew upo hapa wafoka kuhusu mwaka ulioshinda EPL
Umekazania kusema bibi. We talk about achievements, unasema anzia hapa anzia hapa. Get what Liverpool has then come n shout hapa, otherwise kapambane.Hizo cups ameshuhudia bibi yako, wewe toka 2011 mpaka leo unfurahia nini hapo liva?
Wewe nimekuuliza toka 2011 umeweka nini kabatini?Umekazania kusema bibi. We talk about achievements, unasema anzia hapa anzia hapa. Get what Liverpool has then come n shout hapa, otherwise kapambane.
Mzee nimeshuhudia tukinyanyua kombe ambalo hata uliwazii kulipata, UEFA.
HahahahahahahahahahahahahahahahaUnajua hili?View attachment 892495
Baba kwann uanze kuongelea mafanikio 2011? Umekazania kwanzia kwanzia....Wewe nimekuuliza toka 2011 umeweka nini kabatini?
Na EPL je mnaweza kulipata?Mzee nimeshuhudia tukinyanyua kombe ambalo hata uliwazii kulipata, UEFA.
Baba kwann uanze kuongelea mafanikio 2011? Umekazania kwanzia kwanzia....