Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi macho yangu yote kwa Henderson nione ni kwa nini mashabiki wanamchukia.

Mpaka sasa sijaona kosa alilofanya...Half time.

Game inaenda according to plan. Nitafurahi iishe hivihivi 0 - 0 ila Man city wakishinda itapendeza pia.
Kweli kabsaa hujaona anavyo jificha

Fenandinho umemuona shughuli yake?
 
anyway sio mbaya sana kwakuwa tumeshindwa kuifunga na kufungwa na timu bora sana england
 
Wale Watatu Wa Mbele Salah-Firmino-Mane wamekuwa Ni Chui asiye na Meno hawana Madhara Yiyote uwanjani Zaidi ya Kukimbiakimbia ovyo tu.

Sasa Klopp aingie Sokoni Kwa ajili ya Striker hakuna jinsi.
Angalia na mido zako zinazalisha nini?

Usitegemee kina mane warudi nyuma wasaidie viungo hafu haohao wakafunge ni binadam wale wanachoka
 
Siyo mbaya
Team imeonyesha inazidi kukomaa
Sasa tunaenda International break na kurudi kucheza natrashes
Hudd
Fulham
Cardif
Hizi points 9 za wazi na akina Salah wataanza kufunga
Jamani tumecheza mechi 6 ngumu back to back
PSG,SPURS,CHELSEA,CHELSEA,NAPOLI,MAN CITY
Hawa vijana wanastahili pongezi kwa kweli
 
Milner is 33 na ni mmoja kati ya engine ya team, but you cant afford to play him kila match kwa umri wake..

Its not a rocket science.

We have depth kwenye midfied now, use it.
Nnamashaka na Kloop hajiamini ki mbinu sijui alikusudia nini kuongeza wachezaji hafu anaendelea kutumia walewale bila kujali nguvu walizo tumia msimu ulio pita
 
To be Honest: Sijawahi Kumpongeza Henderson lakini Leo Kwa Mara Ya Kwanza Ninampongeza Kawa Outstanding.

But: Sijawahi Kutamka hili lakini Leo Ninatamka Rasmi Kuwa Sina imani na hii Timu Kuwa inawezashinda Chochote Kupitia Watu Hawa Mane-Salah-Firmino ambao hawawezi Kuscore Hata Kwa Wake Zao achiliambali Uwanjani.
 
Siyo mbaya
Team imeonyesha inazidi kukomaa
Sasa tunaenda International break na kurudi kucheza natrashes
Hudd
Fulham
Cardif
Hizi points 9 za wazi na akina Salah wataanza kufunga
Jamani tumecheza mechi 6 ngumu back to back
PSG,SPURS,CHELSEA,CHELSEA,NAPOLI,MAN CITY
Hawa vijana wanastahili pongezi kwa kweli
yap mkuu uko sahihi cha msingi tusije kukumbwa na ule mzimu wa miaka ya nyuma wa kutoa droo au kufungwa na timu ndogo ndogo
 
To be Honest: Sijawahi Kumpongeza Henderson lakini Leo Kwa Mara Ya Kwanza Ninampongeza Kawa Outstanding.

But: Sijawahi Kutamka hili lakini Leo Ninatamka Rasmi Kuwa Sina imani na hii Timu Kuwa inawezashinda Chochote Kupitia Watu Hawa Mane-Salah-Firmino ambao hawawezi Kuscore Hata Kwa Wake Zao achiliambali Uwanjani.

Kwakweli hao front three wamekuwa butu sana msimu huu, a lot of chances and they have wasted almost all.
 
Hata Hivyo Tumepitia Kipindi Kigumu Sana From Spurs, PSG, Chelsea, Chelsea, Napoli mpaka Man City sio Kazi Ndogo.

Sisi Tunapambana Na Miamba Hiyo Huku Wenzetu Walikuwa Wakijipigia Vibonde.

Sasa na sisi Zamu yetu umefika kukipiga na Vibonde.
 
a very dull game... LFC vs M.City. so dreadful.

kinachotubeba tangu msimu huu uanze ni ile focus yetu tunapokuwa hatuna mpira pamoja na solidity kwenye defence.

naona front 3 yetu kweli bado haijakaa vizuri. ..poor first touch and, worse, poor final ball. but am sure soon watarejea kwenye kiwango cha msimu uliopita. hapo ndipo timu itakuwa ipo nearly 100% na sidhani kama kutakuwa na wa kutuzuia all the way.

sasa hivi performance ipo around 70% only lakini we dominated Chelsea at their own backyard (S/bridge) and we bullied a star-studded PSG...sasa imagine tukiwa 100% nani wa kutusimamisha?
 
wrong choice lovren ndo right back au ana cheza na three defenders at the back? kwa formation hii sidhan hata draw tutapata kitakuwa kipigo kikubwa kama msimu uliyopita.

Lovren kweli akamzuie Sane hapo hapo kuna back and sideways passes za henderson.

Kwa mtazamo wangu hii mechi tumepoteza big time labda niwape benefit of doubt
Mbona mnakataaga Tamaa mapema ivi. Wazee wa kuchukua UEFA champion league
 
To be Honest: Sijawahi Kumpongeza Henderson lakini Leo Kwa Mara Ya Kwanza Ninampongeza Kawa Outstanding.

But: Sijawahi Kutamka hili lakini Leo Ninatamka Rasmi Kuwa Sina imani na hii Timu Kuwa inawezashinda Chochote Kupitia Watu Hawa Mane-Salah-Firmino ambao hawawezi Kuscore Hata Kwa Wake Zao achiliambali Uwanjani.
mkuu umekata tamaa mapema mno mbona hiyo foward kali ya kina aguero hawakufunga?hivi unadhani ilikuwa rahisi kumfunga kocha bora kama pep kwa mara ya 3 mfululizo?kumbuka na guardiola alipanga leo kutuua hapohapo home ground ili audhihirishie ulimwengu kuwa alifungwa na liver just by chance
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom