Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Najua umechangia huku Ukiwa umejaa povu.


Kante na Jorginho wote wana goli moja moja msimu huu.


Mnawaza kua MFS yenu haina makali msimu huu lkn mnashindwa kutambua kua viungo wenu wameshindwa kumfikia ata Coutinho ktk kufunga magoli ata assist ndio maana timu imekua butu.


Wewe ulianza kushabikia mpira siku nyingi unaelewa nini zaidi?

Baada Ya Kutumia msamiati huu tu "Povu" basi nimeshakujua Wewe Ni Mtu Wa aina gani Kwani Ni Watu Maalum Kwenye mitandao Ndiyo Wanaotumia Msamiati Huo.

Sijawahi Kumuona Educated Man Kutumiana Neno Povu , Mostly Ni Uneducated, Fools, Religious and Political Brainwashed (eg. Lumumba boys) Ndiyo wanaotumia Msamiati Wa POVU.
You are one of them.
 
Ramsey will be a free agent this january (kama camp yake na Arsenal hawatofufua maongezi mapya)..

Its widely known kuwa Klopp likes Ramsey, na ameshaonesha interest kipindi cha nyuma..

I dont rate Rabiot, but at this rate i’d sign him over Ramsey.
 
Baada Ya Kutumia msamiati huu tu "Povu" basi nimeshakujua Wewe Ni Mtu Wa aina gani Kwani Ni Watu Maalum Kwenye mitandao Ndiyo Wanaotumia Msamiati Huo.

Sijawahi Kumuona Educated Man Kutumiana Neno Povu , Mostly Ni Uneducated, Fools, Religious and Political Brainwashed (eg. Lumumba boys) Ndiyo wanaotumia Msamiati Wa POVU.
You are one of them.
Wewe ni poyoyo tu, kilichokutuma uje unukulu comment yangu na kusema mauongo kua Jorginho na Kante hawajafunga goli msimu huu ni ni kitu gani km si kuwashwa washa then ukuje ujione kua wewe ni wa pekee?


Hovyo kabisa. Ndio maana nilikua nikirusha mawe gizani yanakupata. Una kihere here kweli km umeanza kubalehe.

Achana comment za wanaume wewe utaumbuka
 
Wewe ni poyoyo tu, kilichokutuma uje unukulu comment yangu na kusema mauongo kua Jorginho na Kante hawajafunga goli msimu huu ni ni kitu gani km si kuwashwa washa then ukuje ujione kua wewe ni wa pekee?


Hovyo kabisa. Ndio maana nilikua nikirusha mawe gizani yanakupata. Una kihere here kweli km umeanza kubalehe.

Achana comment za wanaume wewe utaumbuka
Chelsea tunasubiri kwanza mkutane na fixture tight.
 
Wewe ni poyoyo tu, kilichokutuma uje unukulu comment yangu na kusema mauongo kua Jorginho na Kante hawajafunga goli msimu huu ni ni kitu gani km si kuwashwa washa then ukuje ujione kua wewe ni wa pekee?


Hovyo kabisa. Ndio maana nilikua nikirusha mawe gizani yanakupata. Una kihere here kweli km umeanza kubalehe.

Achana comment za wanaume wewe utaumbuka

Duh!
 
Wewe ni poyoyo tu, kilichokutuma uje unukulu comment yangu na kusema mauongo kua Jorginho na Kante hawajafunga goli msimu huu ni ni kitu gani km si kuwashwa washa then ukuje ujione kua wewe ni wa pekee?


Hovyo kabisa. Ndio maana nilikua nikirusha mawe gizani yanakupata. Una kihere here kweli km umeanza kubalehe.

Achana comment za wanaume wewe utaumbuka

Calm down boy!
Obviously umeniprove right Kwa What I've said...

Well done kid..

Your words say alot and not just you've said..

Have a good day boy..
 
Calm down boy!
Obviously umeniprove right Kwa What I've said...

Well done kid..

Your words say alot and not just you've said..

Have a good day boy..
Bado unakoti comment ya mwanaumwe tu? Duh huku kuwashwa washwa ni nouma.....
 
If you ask me, kulikuwa hakuna excuse yeyote ya Klopp kumiss-out on CL trophy against Madrid, zidane did not out-class Klopp hata kidogo tactically, he just depended more on his players individual qualities, Salah injury, LFC squad depth and of-course Karius blunders..

But again, Klopp allowed Coutinho to leave katikati ya msimu and didnt bother to replace him, and then used Lallana and ings as super subs to try and win a UCL final game against Madrid, matter of fact fielded a midiefld -3 of Hendo/Millie/Gini to compete with Casemiro/Kroos/Modric, after loads of TWs kwaajili ya kustructure the midfield and squad depth, the loss was all on Klopp.

But, looking back miaka MITATU ya Klopp at LFC, imekuwa nothing but sensational (in my opinion)..

Firstly, Klopp inherited a very average squad under tight owners, Klopp inherited team iliyokuwa inashikilia number 8 kwenye msimamo wa league ikiwa na wachezaji kama Migs/Skrtel/Lovren/Moreno/Lucas/Bogdan/Lucas/Henderson/Milner/Ings/Lallana/Benteke/Ibe etc, wakati Klopp anachukua hii team kulikuwa na wachezaji wazuri wasiozidi wanne, Coutinho/Emre/Firmino/Clyne (yes, Clyne) wengine wote walikuwa wanastruggle sana kwenye team..but he took that team to Europa final and EFL finals ndani ya miezi 6 tu..

In the long run, team aliyoichukua imekuwa improved a lot, kwanza amefanikiwa kuwa-improve some players kama Milner (it was a miracle), Lovern kutoka kwenye u-bovu mpaka kwenye one error after 4 games, mchezaji kama Lallana amekuwa na msimu mzuri zaidi katika maisha yake ya soka pale LFC under Klopp, most importantly ni kwamba amefanikiwa kumgeuza Firmino kuwa one of the Top 6 strikers kwenye EPL..

Now, baada tu ya kuchukua team, Klopp started by building a good attacking unit, that was phase number 1, phase ambayo ilifanikiwa kwa asilimia 100, then phase number 2 ilikuwa ni kutengeneza a good defensive force, he did that kwa kuwanunua Robertson, VVD and Allison na kuwapa nafasi youngsters kama TAA and Gomez ambao wamesaidia sana kuishape defense ya LFC, so mpaka sasa ambapo Klopp anatimiza miaka mitatu at LFC amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuishape team attacking wise na defensively wise, wakati anachukua team attacking unit ya LFC ilikuwa na wachezaji kama Benteke/Ings/Ibe/Origi/Firmino/sturridge/Lallana and Coutinho (as our AMs), but three years later our attacking unit consists of Mane/Salah/Firmino/Sturrdige/Shaqiri/Ox/Origi/Solanke and Young Adam Lallana, first choice front 3 ya Klopp mwanzo wa msimu wake wa kwanza ilikuwa ni origi/Firmino/Lallana or nakumbuka his first game incharge alifield front-3 ya origi/lallana/Coutinho (Bobby alikuwa majeruhi) but now his front-3 ni Firmino/Salah/Mane.

His defensive unit wakat anachukua team ilikuwa ni Migs/Clyne/Skrtel/Sakho/Moreno, later he chaged to Migs-clyne-Lovren-Sakho-Moreno, but after three years we’re looking at the most expensive back-line in the world, Allison-TAA-Gomez-VVD-Robertson.

So, Klopp amefanikiwa kuondoa deadwoods at the back na kwenye attacking zone na kutengeneza shape nzuri na iliyocomplete kwenye haya maeneo mawili. AMEFANIKIWA.

Now yupo katika phase ya 3, i mean alianza nayo muda kidogo kaa kumununua Gini, but now anajaribu kuweka kitu kipya, i mean he waited na kuifanya iwe phase ya nwisho kwasababu ya ugumu wa eneo lake na aina ya style anayotumia kwenye midfield, now amespend more than 100m kwa midfield wawili tu akiwa na nia ya kujaribu kutengeneza kiungo kipya kabisa..so hatuwezi sema hapa amefanikiwa kwasababu hatujawaona hawa mids wakicheza kwa ubora wao, Keita started very well, but after some tough games, Klopp aliona ni vyema ampumzishe tena, (kitu ambacho kina faida na hasara kwa mchezaji na team, inategemeana sana na reaction ya mchezaji husika hasa katika upande wa confidence). But i’m sure kama alivyofanikiwa kwa upande wa mashambulizi na ulinzi, naamini pia atafanikiwa kwa upande wa kiungo..

Chini ya miaka mitatu ya Klopp, amefanikiwa kutengeneza winning mentality, unity and desire, kui-mprove wachezaji, re-branding club kwa kiasi kikubwa, attracting WC players, competing at highest stages etc..

but pia, under 3 years kuna weaknesses, kubwa zaidi ni kuchelewa kuondoa main deadwoods kwenye team, na kuendelea kukumbatia average players, (well i dont need to provide names).

Well, people can urgue about his lack of trophies, and kama nilivyoelezea hapo juu kuwa missing the CL trophy was all on him na hakuna excuses, but you cant blame him for missing out on Europa league/EFL or Premier league, na kiuhalisia kuipeleka team mbovu iliyokuwa imekosa muelekeo under Rodgers kwenye 2 finals in 6 months kilikuwa ni kitu kikubwa sana, na pia kuifanya team iliyokuwa imetokea nafasi ya nane iweze kuingia top 4 ndani ya msimu wake full wa kwanza ni hatua kubwa sana, under 3 years now Kloppa ameifanya club kuwa main contenders wa Top Four.

Well, we failed to win CL, and i blamed Klopp for that, but this man took this team to CL final ndani ya miaka mitatu tu akiwa na hii team, huku akiwa yupo kwenye phase 1 tu ya kuitengeneza team.

Well, people will want Klopp to win PL right now, but kama ninavyosema siku zote kuwa, kushinda PL kunahitaji players consistency, depth, na injury free, ukiwa lucky na hivyo vitu hasa injuries na main players consistency unaweza kushinda the league with ease, but kwasasa i cant demand PL kwasababu i know for a fact kuwa my team bado haipo complete hasa kwenye midfield, our main chances zipo kwenye FA na CL (we wasted chances za EFL), FA na CL ni competitions of chances and not marathon, Napoli and Don carlo used nafasi yao kutufunga and it wasnt about tacticts or whatsover (i have said this before), Klopp can take his time katika kui-asses a PL winning team (though inaweza ikatokea tukawa na bahati ya kutokuwa na majeruhi makubwa kwa wachezaji wetu muhimu na wale quality squad players, msimu huu tumekuwa na bahati sana kwa Sturridge), but untill then finishing top 4 is enough for me, as long as tunatake advantage kwenye CL and FA cup, matter of fact i’d blame Klopp kama ikitokea tukafika final nyingine ya CL na tukafungwa, but kiuhalisia kuwa CL finalists back to back ni mafanikio makubwa sana pia kimpira.

We can win the league, but tuna chance kubwa ya kushinda makombe ya mtoano kulingana na depth tuliyonayo, as a fan you should count kwenye makombe yote but then true fans huwa wanazingatia kwanza possibilites na vitu vya msingi vya kuzingatia kabla ya kudemand aina flani ya trophies, so give me FA and CL cups now, you can give me PL too but wont blame my manager kama tukimiss-out kwa team yenye depth kama Man city..but funny enough i’d blame Jurgen kama tukimiss-out kwenye CL or FA cup finals kwasababu its about tactical approach and taking your chances.

Lastly, Will start to firmly demand the PL pale phase 3 itakavyokamilika, honestly i cant expect to win a PL trophy with a midfield-3 of Hendo/Milner/Gini, and though macho yangu yapo zaidi kwenye cups, but will be blaming Klopp for every henderson blunder, iwe kwenye league or kwenye cups.

It will be very nice kama tukishinda PL this season, but it wont be bad at all kama tukishinda only FA cup and will be a very good season kama tukifanikiwa kufika tena CL final even without winning it.

But at the end of the day, we must finish huu msimu na trophy.

.....and if we dont win any trophy itatupasa kufurahia the installment of phase-3 huku tukiwa tuna-moan kwa kukosa kombe lolote (lol).

....and dont feel bad or ashamed to crticise Klopp’s useless subs, game managament, inept tactics etc, its your right as a fan.
 
You’re really LFC fan kama ulipitia hizi banterous memories;-

1. Remember that loss against Blackpool? Our then manager Roy Hodgson said on live interview kuwa “Liverpool is not too big for relegation battle”

2. Remember when we signed Joe Cole? SG was quoted saying he was better than Lionel Messi

3. Remember when we signed the super trio under Hodgson? Poulsen/Jovanovic/Joe cole

4. Remember when Houllier ditched Anelka for Diouf? Haha

5. Remember Riera? Wakati anaondoka LFC he was quoted saying “he was leaving a sinking ship”

6. Remember when Benitez tried to force Alonso out ili amsajili Gareth Barry?

7. Remember when we got investgated for match fixing kwenye UCL against Debrecen?

8. Remember when carragher and SG forced Benitez out of the team only to end up with Hodgson?

9. Remember when we lost the league in 2008/09 season because of than Baloon incident against sunderland?

10. How many top players umeshuhudia wakiondoka LFC at their peak baada ya kutumia muda mrefu kuwa-profile? McManaman/Owen/Torres/Alonso/Masch/Suarez/Sterling/Coutinho/Emre can etc

11. Remember when Daglish chose Carrol over Aguero, because Aguero was too short?

12. Remember when Daglish threw 100m kwa kina Downing/Henderson/Charlie Adam/Doni/Enrique etc over Auba/Gotze/Lloriente etc? Because he wanted to build LFC kama ya miaka 1980’s??

13. Remember when roy evans and Sousness were LFC managers? Lol

14. Remember when we appointed BR as a LFC manager? And first and foremost signed Joe Allen na kumuita Welsh Xavi kwenye live-presser..

15. Remember when SG slipped? And cost us a title?

16. Remember when suarez called reporters nyumbani kwake na kuwaambia kuwa he wants to leave LFC for Arsenal because Arsenal walikuwa na ambition and bigger than LFC?

17. Remember when we got beat 6-1 by stoke city kwenye game ya mwisho ya SG and Brendan told the medias “the ocassion got to us”

18. Remember when Brendan Rodgers started kolo toure/Lucas/Markovic/Borini etc away against Madrid kwenye CL game?

19. Remember when Baloteli took the ball off Henderson to take a pen against Beskitas? Haha

20. Remember when we went to southampton and bought Lovren for 25m, Lallana for 20m and decided to give them extra 5m kama shukrani na kumchukua Lambert? Haha

21. Remember when Ian and his team flew to ukraine kuconclude deal ya Konoplyanka but failed because of slight paperworks?

22. Remember how long we waited for Mkhtaryan plane to land John lennon airport only for Klopp the nazi bastard to steal him under our own noses?? Haha

23. Remember when Brendan Rodgers told SG to convince Toni Kroos kuja LFC?

24. Remember when Sanchez was ignoring Brendan Rodgers calls? Haha

25. Remember when Brendan Rodgers asked for another chance na kuomba pesa za usajili kwa FSG, only to go and throw 32m on Benteke?

26. Remember when Archterbeg told us kuwa Bogdan was a top class GK?

27. Remember when Jose Enrique refused to leave LFC because of his big wages?

28. Remember when our very own Owen joined Man utd?

29. Remember when Craig bellamy tried to beat Jon Arine Riise wakati wapo kwenye kambi ya mazoezi kule ureno?

30. Remember when we were linked with Benzema? Few days later he was interviewed by french radio and said LFC were too small for him.
 
People saying Sturridge goal against Chelsea was his best goal of all time.. lool i refuse..

I mean it was a great goal man, but give me his goal against West brom in 2013 and that goal against Sevilla kwenye europa league final..

Technique ya lile goal against West brom ilikuwa ni ngumu sana, ni ngumu sana kujirudia. Huwa watu wananicheka sana, lakini huwa nasema kuwa Danny ni the greatest ball technique striker of all time. Injuries tu ndo zimemrudisha nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom