Football ni very interesting sport, and unakuwa mchezo mrahisi sana kama ukiwa unaufatilia kwa ukaribu..
Form ya fab 3 last season, iliwafanya watu wasione umuhimu wa kuwa na number 10..ndiyo maana tulivyomiss-out kwa Fekir, watu wakachukulia kawaida sana..
We lack creativity big time, na kibaya zaidi hatuna option yeyote from the bench zaidi ya shaqiri na keita ambao nao siyo direct experts kwenye hiyo role..
You can argue kuwa kuondoka kwa Buvac kumeleta changamoto kwenye our attacking patterns, but its so evident kuwa we needed a focal number 10 last summer..
And again, last season tulitegemea zaidi creativity ya our fab 3, lakini kwa bahati mbaya msimu wote wapo off form, but in detail ni kwamba kuna factors zinazoplekea hicho kitu pia, ukiangalia game ya Napoli, our midfield-3 (Hendo/Milner/Gini), walipiga foward passes 24 kwa dk zote 90.. sasa hakuna attack itakayofanya kazi kama midfield yake inapiga passes 24 tu kwenda mbele kwa muda wa dk 90 thats we dont have a solid combination play mpaka sasa..
We still have time ya kushape our team, but personally i dont have any hopes kwa msimu huu tena and i’m not over-reacting or anything.
I mean you need to be worried when your Manager change the most balanced Centre-back pairing in the league kisa tu Lovren is fit and dropping a 20 year old on the bench because of some few bad games and at the same time unakosa balls za kumdrop henderson ambaye hana a single good game tangu huu msimu uanze..
I dont have any hopes kwa msimu huu to be honest.