Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,263
1vs 2. Inatosha kabisaKupata vichekesho kama hivi tunatuma kwenda namba ngapi???!
Uzuri ni kuwa wakishinda leo wajue tunaenda kuwapiga kwao kwenye ligi, hatuwezi kubali eti watupige nyumbani halafu next match in row ni nyumbani kwao halafu tusiwapige
HahahahhNaomba matokeo mkuu
Its a nightmare for all the big clubs today
First Barcelona then Liverpool
Now its real madrid!
Kwani Mignolet ni mchezaji wa Stoke City????I will not count this defeat
Team inakuwa na Mignolet na Moreno?
Msiwe na wasi wasi,Jumamosi hawawezi tufunga hawa
Ni wachezaji watatu tu walio anza leo ndiyo wataanza Jmos ambao ni Mane,Milner na Keita! Mashambulizi yanaongozwa na Dan?Liverpool gani hiyo?’liverpool yenye jina Loverpool utakutana nayo Jumamosi
Nakufunga easy kabisa!
Akikujibu unitaq na mimi.Kwani Mignolet ni mchezaji wa Stoke City????
Mignolet kafanya kosa gani leo?Alberto Moreno na Migs ni hovyooo hovyoo
Pipe dreamSisi wataanza wawili tu...Azpilicueta na Kovacic.
Tumekufunga na Tutakufunga.
Hata kabla mechi hii haijaanza mlisema vivyo hivyo.Pipe dream
Hahahahaha....Huwezi hata mfunga WHU ndiyo ww ucheze na Liverpool hii?
Hahahahaha....Chelsea leo lazima akalishwe pale Anfield...
Moyes ametoa mtazamo wake kwa jinsi anavyoiona Liverpool....Na hiyo quote ya Moyes uiyoituma tusemeje kwake



Kama Liverpool yenye world classic player wenye uchungu na timu ..Xabi Alonso, Steven Gerrard, Kuty, Torres, Lucas, Mascherano nk ...ilishindwa kubeba EPL ..je liverpool hii ya Mane, Salah na Firmino ambao hawajawahi kubeba hata vikombe vya ligi ya mchangani ndo unategemea kuchuka nao ubingwa?? Kuwa siriyaz bwana ..Huyo moyes ana uzoefu gani katika kunyanyau vikombe halafu anakuja na cheap words like this ....Liverpool wana nafasi kubwa zaidi kipindi hichi kuliko club yoyote ile za kunyakua kikombe
Tushakutana mkuuChelsea tuliwaambia malizaneni na West ham kwanza kabla ya kuwaza kushindana na LFC...tukutane Jumatano Anfield
Hahahahaha....Sio Siri Hii Game Ya Leo Watu Kama Gomez, Robbo, TAA, Mane, Salah, Gini na Millie Sitaki Hata Kuwaono Wakiwarm Bench Kama Squad Player.
Ningependa Kuwaona Wakiingia Uwanjani na Suti Pamoja na Makopo ya Popcorn tu Wakiangalia Madogo Wanavyorindima Uwanjani.
Ahahaha hata kumfunga huyu WHU huwezi ndiyo umfunge Liverpool?
3-0 easy game






1-2 nyumbani kwako