Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
...hatukusajili hao !Na nyie mtachezesha makinda ama?
...hatukusajili hao !Na nyie mtachezesha makinda ama?
Nahisi kama Klopp jana alisema Origi bado hajakuwa fit bado ankle injuryBila Ya Kupepesa Macho Basi Ningelipenda Kikosi Cha Leo Kiwe:
Mignolet
Clyne - Matip - Lovren - Moreno
Henderson - Fabinho - Keita
Sturridge - Origi - Xhaqiri
Halafu Subs Kama Kawa Wawepo Wazee Wa Kazi.
Nadhani Hicho Kikosi Kinatosha Kutuwakilisha Kwenye Carabao Kwani Kinaweza Pambana Hata na FXI ya Chelsea.
Bila Ya Kupepesa Macho Basi Ningelipenda Kikosi Cha Leo Kiwe:
Mignolet
Clyne - Matip - Lovren - Moreno
Henderson - Fabinho - Keita
Sturridge - Origi - Xhaqiri
Halafu Subs Kama Kawa Wawepo Wazee Wa Kazi.
Nadhani Hicho Kikosi Kinatosha Kutuwakilisha Kwenye Carabao Kwani Kinaweza Pambana Hata na FXI ya Chelsea.
Nahisi kama Klopp jana alisema Origi bado hajakuwa fit bado ankle injury
Kwa mtazamo wangu hii timu inatosha kuwamaliza Chelsea
Mignolet
Clyne Lovren Matip Moreno
Henderson Fabinho Keita
Sturridge Solanke Shaqiri
Tusubiri line up mda si mrefu tutaona yaliyomo..Game Kama Ya Leo Kama Fabinho Hakuanza Mpaka Kigemu hichi basi nitajiridhisha Kuwa Si bure Bali Kuna Jambo Behind the Scene.
Lovren na Origi mbona klopp ashasema hawatahusika na mchezo wa leoBila Ya Kupepesa Macho Basi Ningelipenda Kikosi Cha Leo Kiwe:
Mignolet
Clyne - Matip - Lovren - Moreno
Henderson - Fabinho - Keita
Sturridge - Origi - Xhaqiri
Halafu Subs Kama Kawa Wawepo Wazee Wa Kazi.
Nadhani Hicho Kikosi Kinatosha Kutuwakilisha Kwenye Carabao Kwani Kinaweza Pambana Hata na FXI ya Chelsea.
Mbele kuna shaqir, mane na sturidge katikati pia fabinho kapata nafas. Kwangu Mimi kikosi kizuri chenye wachezaji wazoefu. Watakaza Sana maana ni nafasi kwao ya kuonyesha uwezo ili kuingia kikosi cha kwanzaTusubiri line up mda si mrefu tutaona yaliyomo..
Tunaanza hiviView attachment 878807
Tunaanza hiviView attachment 878807
Na huyu Milner bana angepumzika lol kweli huyu ni field marshal wa Klopp8 Changes sio mbaya kwa Leo Wacha Wengine Wapumzishe miguu.
Mimi naangalia kupitia footbal live TV!Tujuzane link wakuu