Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Last 2 seasons Tulizoea Kuona Timu Zikiiogopa Front 3 yetu...

Lakini Kwa Sasa sio Front 3 pekee Bali Ni Front 11 yote ndiyo inayoogopwa..

Only JF's Keyboard attackers ndiyo Wasioiogopa Front 11 ya Liverpool..

Alisson - VVD & Gomez - Bobby hii ndiyo Backbone ya Liverpool Kwa sasa....
Sio Mane?
 
Moja ya Joke niliyokutana nayo mitandaoni..

• Alison ametengenezwa Kwa Wachezaji wawili Wa Spurs..
Ali + Son = Alison.

• Pia Wamempatia Namba Zao Za Jezi Kuzalisha Yake.
- Ali jezi no. 20
- Son jezi no. 7
20 - 7 = 13
√ Alison anavaa Jezi no. 13
😀😀😀
 
Pia Keita Anasumbuliwa na Kutokuwa Na Consistency ya Mechi Baada ya Mechi ingawa Bado anacheza Vizuri lakini sio vile Tulivyotarajia Kutoka Kwake.


Nilikua na na mtazamo kama huu pia, yule jamaa nikimcheki naonaga kabisa hayuko to the fullest
 
Chelsea tuliwaambia malizaneni na West ham kwanza kabla ya kuwaza kushindana na LFC...tukutane Jumatano Anfield
 
M
Mambo manne anayopenda Mo Sollah.
1: Anapenda sana kinywaji aina ya kahawa.
2: Anazipenda sana nywele zake.
3: Rafiki yake mkubwa kikosini ni Lovren
4: Goli lake la mwaka ni lile alilowafunga AS Roma kwenye Champions League.
Mzee, roma aliwafunga mawili sasa sijui ni lipi
 
Sidhani kama ni majigambo... watu wanaongelea hali halisi ya yanayojiri viwanjani...

Kipindi kile tumekuwa jamvi la wageni mlichonga sana... ngojeni sasa tuwanyooshe kidogo.
Wewe babu soon tu utapotea kama ulivyopotea mwanzo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom