Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uzuri ni kuwa wakishinda leo wajue tunaenda kuwapiga kwao kwenye ligi, hatuwezi kubali eti watupige nyumbani halafu next match in row ni nyumbani kwao halafu tusiwapige
Jifariji......tu. zile Tambo zenu tumezizoea Mara kombe gani hili....cc. malafyale na king Gwaba.

We are talking about to day.....not about tomorrow.
 
• Tumeshafungwa No excuse.
• Leo imejionesha Wazi bila ya VVD na Gomez Kwenye Defence, We are nothing.
• Na Kibaya Zaidi Si Kufungwa tu!! Bali alichotufanya Hazard katunyanyasa.
• Na Ninavyowajua Washabiki Wa Chelsea basi Wacha Nilale Mapema.
Pole mkuu. Ila uache majigambo wewe pamoja na rafiki yako malafyale. Mpira huwa ni dakika tisini 90.
 
Its a nightmare for all the big clubs today
First Barcelona then Liverpool
Now its real madrid!
 
Mkuu Liverpool haichezi tena Mpira Wa Kutafuta Possession Bali sasahivi inacheza Attacking football tu...
Labda ungeuliza On Target Ni ngapi basi ingemake sense.
By half time mlikuwa na on target 3 na sisi 4.

Usijemdanganya mwenzako.
 
Pole mkuu. Ila uache majigambo wewe pamoja na rafiki yako malafyale. Mpira huwa ni dakika tisini 90.

Ni wachezaji watatu tu walio anza leo ndiyo wataanza Jmos ambao ni Mane,Milner na Keita! Mashambulizi yanaongozwa na Dan?Liverpool gani hiyo?’liverpool yenye jina Loverpool utakutana nayo Jumamosi
Nakufunga easy kabisa!
 
Sawa kwanini tusubiri kesho wakati tunaongea Leo?

Pili nikuulize ni timu gani imefungwa na Chelsea anfield?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom