Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mi mtu akisema liverpool anashinda ubingwa huwa namuangalia sana kama yupo timamu kocha mwaka wa nne hata carabao hawezi kupigania kocha wa chelsea kaja juzi tu anakufumua liverpool mnajivunia mpira wa spidi basi makombe hapa msahau
 
Mi mtu akisema liverpool anashinda ubingwa huwa namuangalia sana kama yupo timamu kocha mwaka wa nne hata carabao hawezi kupigania kocha wa chelsea kaja juzi tu anakufumua liverpool mnajivunia mpira wa spidi basi makombe hapa msahau
subiri mlichukue kombe lenyewe ndio urudi hapa na majigambo ndugu...
 
Kuna mshabiki wa liverpool nilimwambia hata game ya spurs walishinda kwa bahati tu vile michenga ya dembele ikawapa ushindi lakin wakikutana na timu ipo makini ana hali mbaya sana hawa
Moyes ametoa mtazamo wake kwa jinsi anavyoiona Liverpool....

Haina wachezaji wa kuchukua ubingwa.
 
Mi sio chelsea mzee timu yangu ipo hovyo sana manchester united ila kwa nyie upande wa ubingwa na klopp kidogo inafikirisha rekod zake hazipo vizur japo mnacheza soka la kuvutia sana lakin mkipata mpinzani makini mtafumuliwa sana
pole sana ndugu Traford kuna upepo umewakomalia hausomeki utawaachia lini all the best mrudi kwenye kiwango..
at tyms huhitaji kua bora mechi zote maana msimu uliopita kuna kipindi Liverpool ilikua na 75+ % posession na mechi aidha inaisha draw au kipigo..
msimu huu Klopp ameelewa kinachosemeka na kukupa pointi sio smart or heavy metal football mbali ni ushindi tu...
sasa hilo la tutafumuliwa bado ni mapema sana kusema ni kweli au la kwa sasa twachukua kujipanga mechi baada ya mechi...YNWA
 
Kabla Ya Kuanza Msimu Nilikuwa na Mashaka Sana Na Depth ya Timu Yetu Kwa Upande Wa Kikosi B lakini Nilijaribu Kujiconvince nijiaminishe Kuwa Tuna Kikosi Kizuri Cha Hakiba..

But Jana Nimeconfirm Kuwa Kikosi Tulichonacho Ni Kimoja tu Cha First XI, Kwa Kikosi B nilichokiona Jana Ni Sturridge na Xhaqiri tu Walioonesha Uhai Kuwa Ni Wachezaji Wa Akiba na Kuongeza Depth.
Clyne pia akipata Game time ya Kutosha Ni Depth Nzuri tu.

Moreno Hata Kuwa Mshabiki Wa Liverpool Hafai. Ni Miongoni Mwa Wachezaji Ambao Wanaidhalilisha Jezi Ya Liverpool.
Kwani Jana Mwanzo Mwisho Chelsea Walishambulia Upande Wake Baada Ya Sarri Kugundua Kuwa Weakness Ya Liverpool Ni Upande Wa Kushoto Kwa Moreno.
Na Ndiyomana Hazard Alipoona Upande Wa Kulia Wa Liverpool Kidogo Kumekaza basi Fasta Akashift Upande Wetu Wa Kushoto Na Kwenda Kumpinduapindua Moreno na Kufunga goli.

Hata Hivyo Mickey Mouse Cup nimekuwa Nikiidharau Siku Zote ingawa hili has nothing to do kwa Kufungwa Kwetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom