loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
hawajagusia hilo la cesc kucheza redeVipi, walizungumzia kuwa Fabregas alicheza rede golini kwake na haikuwekwa penalt?
Au hapo walipepesa macho?
hawajagusia hilo la cesc kucheza redeVipi, walizungumzia kuwa Fabregas alicheza rede golini kwake na haikuwekwa penalt?
Au hapo walipepesa macho?
Willian katoka, wameingia Kante na Hazard ila nao wanaruka tu.Ila nina mashaka Willian anaweza akatufunga maana golikipa mwenyewe majanga tu
Willian katoka kaingia Haza
Willian katoka, wameingia Kante na Hazard ila nao wanaruka tu.
Sio kulala tuu mkuu ni kulala homeTumelala
Hapo lazima uliwe kiboga tuuKikosi kina Moreno .Mignolet unategemea nini hapo
kama kocha kaanza na wengi wa kikosi cha pili nadhani jibu unalo kama ni kipaumbele au sio kipaumbeleMsije sema carabao sio kipaumbele chenu
Naomba maoni yako mkuu. Hamjakamatwa ila mmefungwa kwenu.nimetembelea jukwaa la chelshit naona wanapongezana kuwa wametukamata vilivyo
big up to you chelshit fanNaomba maoni yako mkuu. Hamjakamatwa ila mmefungwa kwenu.
Liverpool 1 vs 2 Chelsea
Tukutane darajani.