Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni wachezaji watatu tu walio anza leo ndiyo wataanza Jmos ambao ni Mane,Milner na Keita! Mashambulizi yanaongozwa na Dan?Liverpool gani hiyo?’liverpool yenye jina Loverpool utakutana nayo Jumamosi
Nakufunga easy kabisa!
Kwaio wewe Liverpool una first XI tu huna second XI kama Chelsea??

Halafu unategemea kubeba ligi.

Mbona una hatari mkuu!!
 
Mignolet kafanya kosa gani leo?
Hebu nisaidieni.

Na hapa niko kama shabiki wa mpira. Please, please, labda kwa kuwa nilikuwa na stream kwa simu..screen ni ndogo.

Cc: Malafyale King Ngwaba
Chelsea tutashindwa mlaumu caballelo kama wao wanataka mlaumu mig?na hawakumbuki mchezaji alie kwenye kikosi bora cha dunia kaamua matokeo wkt Messi kashindwa uko
 
Kupata kichekesho kama hiki tuma neno LIVERPOOL kwenda namba CHELSEA.

Tukutane darajani...

Nakuja kukupigia pia hapo hapo kwenu darajani na Zaidi Zaidi mechi muhimu ya kujiweka kileleni, hatujawahi kukubali kupigwa consecutively na timu moja chini ya kocha wetu huyu mjerumani. Ibakie vitendo, mpira ni dakika tisini !
 
Mkuu Liverpool haichezi tena Mpira Wa Kutafuta Possession Bali sasahivi inacheza Attacking football tu...
Labda ungeuliza On Target Ni ngapi basi ingemake sense.
Chelsea 1st half possession 62% nyie 38%
Shots on targets 4 nyie 3
Ft possession Chelsea 54% nyie 46%
Shots on target 7 nyie 7
FT results Chelsea 2-1 nyie
Samahani kwa kumweka Chelsea mwanzoni wakati alikua ugenini nmetanguliza mahaba ya kiuandishi tu
 
Hii sentensi ni lazima waitamke ...na jmoc watasema ligi sio kipaumbele chao.

Kipaumbele chao watakwambia ni uefa..

Umekifunga kikosi cha pili, especially backline yote haikuwa na match fitness. Jumamosi ndiyo shughuli itakuwa shughuli pale darajani kwenu.
Get prepared ndugu yangu
 
Ni wachezaji watatu tu walio anza leo ndiyo wataanza Jmos ambao ni Mane,Milner na Keita! Mashambulizi yanaongozwa na Dan?Liverpool gani hiyo?’liverpool yenye jina Loverpool utakutana nayo Jumamosi
Nakufunga easy kabisa!
Ushakua shekhe Yahya
 
kama kocha kaanza na wengi wa kikosi cha pili nadhani jibu unalo kama ni kipaumbele au sio kipaumbele
Cabarello, Christensen, Cahill, Fabrigas,Barkley, Moses, hawa Wote ni kikosi cha pili Chelsea kwa hiyo usilete visingizio vya kitoto
 
Ni wachezaji watatu tu walio anza leo ndiyo wataanza Jmos ambao ni Mane,Milner na Keita! Mashambulizi yanaongozwa na Dan?Liverpool gani hiyo?’liverpool yenye jina Loverpool utakutana nayo Jumamosi
Nakufunga easy kabisa!
Usisahau Keppa, Alonso, Ludiger, Luiz, Joginho, Kante, Pedro, Hazard na Giroud hawakuanza. Kikosi kilikuwa na Azpillicueta, Kovacic na Willian kama first team playera
 
that Sturridge miss!

that Mignolet error for the first goal!

...what might have been.

anyways, Saturday someone is going to seriously suffer!
 
Attachments

  • 20180927_071009.jpg
    20180927_071009.jpg
    81 KB · Views: 24
Nakuja kukupigia pia hapo hapo kwenu darajani na Zaidi Zaidi mechi muhimu ya kujiweka kileleni, hatujawahi kukubali kupigwa consecutively na timu moja chini ya kocha wetu huyu mjerumani. Ibakie vitendo, mpira ni dakika tisini !
Naona Leo ndiyo umekubali kuwa mpira ni dakika 90.
Msiwe mnaleta tabiri zinazowagarimu then mnashindwa adi kulala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom