BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Rita Mlaki, millioni 300 nje?
Good news kutoka huko ni uamuzi wa rais kuteua kamati maalum itakayo jumuisha mawakili, wabunge wa upinzani, wakuu wa dini zote mbili, na wabunge wa CCM, kulifuatilia suala zima la madini,
Magazeti yote leo yamekubali kuwa kwenye hili Muungwana, makes a sense, the bad news ni mkuu Luwassa, kutoka huko akiwa mnyonge sana!
Mkuu heshima yako. Hii itamake sense kama kamati itakayoundwa itapewa meno ya kuiwezesha kufanya kazi bila kuingiliwa na yeyote pale ambapo wanaona kuna haja ya kufanya mabadiliko katika mikataba mbali mbali ya uchimbaji wa madini. Kama kamati hiyo haitakuwa na nguvu zozote basi itakuwa ni kutwanga maji kwenye kinu na hata watakaochagulia kwenye kamati hiyo wanaweza kukataa kuitumikia kamati isiyokuwa na meno.