Hata kabla ya TAL, niliambiwa na afisa mkubwa wa wasiojulikana kuwa wao kwa sasa wanaripoti kwa Maajaliwa.

Kwa ujumla hanangaya, yupo ka alama tu lakini siyo kiutendaji.
Mkuu,Kwa hiyo na wewe una taarifa Kama za Lissu? Hebu tufafanulie inakuaje wanachadema mnapata taarifa mapema?
 
Tunaojua ukweli tumeamua kukaa kimya maana tukisema tutashitukiwa na kuanza kufuatiliwa ila alichokisema Lissu ndio ukweli wenyewe
Kuna viashiria sema




Something are Seems to be true but are not true
 
Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.
 
Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.
Wewe kilaza titan51, je na huyu je? Anatakiwa atoe ushahidi! Acheni kutetea ujinga.

 

Huyu mtu wa Mungu waliompiga risasi hawapo leo wewe unaongelea kesi😂😂 inabidi uamke yaani yeye ni mtu wa kutafutwa na Raisi tu tena kwa simu. Ameshindikana muda mrefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…