Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Pombe(wanaume wengi huwa wanaona kunywa pombe ndio ukidume haswa matokeo yake wanakuwa ma uraibu mkali,unakuta mtu anaumwa na ana dozi ila bado pombe hazipumzishi)

, umalaya(hapa sasa wanajikuta zoa zoa wa magonjwa tele hata akimuambukiza mkewe,mke mtulivu ila mume bado anakua kicheche na kupata maambukizi mapya)

stress(mtu ana stress za kazini,michepuko bado majukumu ndoani na ndugu zake lazima adanje mapema)
 
JIBU SAHIHI:

MWANAUME UNAOA UKIWA UMEMZIDI MKE MIAKA 10 MFANO . SASA WAKATI WEWE UNAPOFIKA 60 NA KUKUTANA NA KIFO , MKEO ANA MIAKA 50. SO LAZIMA UTANGULIE WEWE ILI NAE ASOGEE SOGEE HADI HUKO KWENYE 60 KIASI.

TUSIWE WABINAFSI KUWATAKA WATANGULIE WAKATI UMRI BADO MDOGO .

KWANZA AKITANGULIA YEYE WE UNATAKA UBAKI KUFANYA NINI KAMA SIO UMALAYA TU
 
Wanaume walio single hawana family to take care,wengi nimeona wanaishi maisha marefu.
Mawazo ya mahusiano,family na uchumi unatuaa sana wanaume.ukiweza Ku control hivi vitu na kula vizuri utaishi maisha marefu.
 
Ni kweli hata bila utafiti sana utagundua nyumba nyingi wamebaki wanawake na mabibi
Wanaume wanatangulia kufa katika familia nyingi
Sisi wanaume tunabeba matatizo mengi sana, wanawake wengi wao wanabeba matatizo yao tu,
Hii ni kwa ujumla kama nionavyo mimi, unaweza kuchambua ni mangapi unawaza kuyatatua iwe matatizo au mafanikio
Tuna mizigo mingi sana tumeibeba
Sababu ni kuwa pamoja na kuwa wanaume wanabeba majukum mengi ya familia lkn na umri unachangia ni nani anakubali kuoa mke aliyemzidi umri? Wanaume wengi wakifanya hivyo basi miaka ya mbele nyumba nyingi watabaki wanaume.
 
mastress ya familia ndio yanatuua wengi wetu, ukitazama kwa mtazamo wa kawaida sana vizee ambavyo havina familia wala nini viko chumaaaaa hadi leo vinadunda tu ila ukijitia kidume sijui kumiliki mijike kadhaa hutoboi nakwambia, fanya kautafiti kidogo tu utakuja kunishukuru baadaye.
 
Nyie mnatunza vitu moyoni sisi wala tukikerwa na kitu tunakitunza masaa 48 tu tunawakabizi wenhine wapambane nacho
 
Mnabeba kila kitu moyoni.

Mmoja kaka yangu yuko jakaya hapo damu imejaa kwenye mishipa ya moyo.

Muwe mnaongea, wanawake tunaongea, yaani hatuna kitu cha kubeba moyoni.
 
Wanawake ukisha fanikiwa kujenga mjengo wa maana na vi asset anaanza kutia msongo wa mawazo na Sonoma mwisho ni kifo yeye sasa anabaki mother house
 
Nyumba nyingi wamebaki wabibi na wamama zaidi endapo mmoja ameondoka.

Najiuliza labda huenda wanaume wanafight sana kuliko wanawake. Nyumba jirani wabibi ndio wameishi miaka mingi zaidi na unakuta kina baba walikufa miaka zaidi ya 40 iliyopita.

Labda huenda wameumbwa hivyo waishi zaidi kuliko sisi, lakini ni jibu lisilojitosheleza. Wanaume tunakufa mapema mno japo kifo ni ahadi.m

Sababu nini hasa?
kifo kipo tu ,iwe mapema au kwa kuchelewa ni kifo tu
 
Ilikua jumapili Wakati Narudi toka mizunguko yangu ya kumsalimu rafiki angu anaeishi Malamba mawili. Kabla yakufika nyumbani nilipita kumsalimu rafiki yangu ambae tumefahamiana toka 2014 ofisin kwake pharmacy ni mtaalamu wa madawa. Nilifungua mlango nikamkuta kijana makamo 25-28 anajaribu kunusuru ndoa yake kwa kuomba ushauri kwa rafiki yangu muuza madawa ,kuwa afanye nini mke wake ana msaliti na amemuoa tayari akiwa na mtoto mmoja.

Kijana uyo ni mpambanaji sana anajihusisha na shughuli za uuzaji wa machungwa stendi kulingana na mujibu wa kazi yake huwa anatoka sa mbili asubuhi na kurudi sa tano ya usku. Amekua akijitahidi sana kumtimizia mkewe mahitaji yake yake muhimu napoongea ivo watu wazima wanakua wananielewa vizuri.

Siku za karibuni alikua akihisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine mana upendo aliouzoea umepotea hadi penzi kupoteza dira . Kijana alihisi ivo baada ya kuona dalili mbalimbali katika mahusiano yao ikiwemo kumnyima unyumba kwa siku tatu (3) , akamdanganya kuwa ana mimba yake lakini kila akimwambia twende tukapime anakataa ikumbukwe ni mke wake halali na pia mwanamke anakua yupo busy sana kuchat kipindi wapo pamoja badala yakumjali mumewe. Kila alipo ulizwa alisema yakua anawasiliana na rafiki zake waliosoma pamoja amna lolote baya.

Kadri siku zinavozidi kwenda kijana anakosa aman anakua mtu wa mawazo baada ya ndoa yake kuingia dosari. Siku ya Jumamosi alivorudi katika mizunguko yake alioga akala na akajipumzisha kitandani kutoka na hali ya msongo wa mawazo iliyokua inamkabili alishindwa kupata usningz vyema wakat huo bibie tayari alikua ashalala fofofo. Akasikia mlio wa meseji kuingia kwenye simu ya mkewe hakusita aliamua kuichukua ili ajue ni nini kinaendlea sio kawaida nyakati za usku mseji kuingia ilikua n mida ya saa 7 usku ,,meseji ilikua ikisomeka ivi "MKE WANGU NAOMBA TUKUTANE PALE TUNAPOKUTANA SIKU ZOTE" ,, Kijana alipigwa na Butwaa kubwa na mapigo ya moyo kuenda kasi Nakujiuliza kitu gani amekosa kama mahitaji yake ya msingi anampatia tena kwa wakati? Katika kuchunguza zaidi alikuja kugundua namba iliyotuma uo ujumbe ni namba ya mpenzi wake wa zamani ambae wamezaa nae huyo mtoto mmoja. Balaa linazidi kuwa zito

INAENDELEA ..............
 
1.Nyerere,Mama Nyerere anadunda.
2.Mkapa,Mama Mkapa anadunda
3.Karume,Mama Karume anadunda.
4.Magufuli,Mama Magufuli ana dunda.
5.Maalimu Seif,Mama Maalimu anadunda.

Hao ni watu ambao matibabu na fedha kwao sio issue.

Huku mtaani sasa ukitazama wanaume kibao wametangulua na kuacha wanawake,juzi tu nimetoka kumzika swahiba wangu aliekua hapo TRA Ilala,kaacha mke na kachanga,jamaa kazaliwa 86 tu!!
 
Ilikua jumapili Wakati Narudi toka mizunguko yangu ya kumsalimu rafiki angu anaeishi Malamba mawili. Kabla yakufika nyumbani nilipita kumsalimu rafiki yangu ambae tumefahamiana toka 2014 ofisin kwake pharmacy ni mtaalamu wa madawa. Nilifungua mlango nikamkuta kijana makamo 25-28 anajaribu kunusuru ndoa yake kwa kuomba ushauri kwa rafiki yangu muuza madawa ,kuwa afanye nini mke wake ana msaliti na amemuoa tayari akiwa na mtoto mmoja.

Kijana uyo ni mpambanaji sana anajihusisha na shughuli za uuzaji wa machungwa stendi kulingana na mujibu wa kazi yake huwa anatoka sa mbili asubuhi na kurudi sa tano ya usku. Amekua akijitahidi sana kumtimizia mkewe mahitaji yake yake muhimu napoongea ivo watu wazima wanakua wananielewa vizuri.

Siku za karibuni alikua akihisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine mana upendo aliouzoea umepotea hadi penzi kupoteza dira . Kijana alihisi ivo baada ya kuona dalili mbalimbali katika mahusiano yao ikiwemo kumnyima unyumba kwa siku tatu (3) , akamdanganya kuwa ana mimba yake lakini kila akimwambia twende tukapime anakataa ikumbukwe ni mke wake halali na pia mwanamke anakua yupo busy sana kuchat kipindi wapo pamoja badala yakumjali mumewe. Kila alipo ulizwa alisema yakua anawasiliana na rafiki zake waliosoma pamoja amna lolote baya.

Kadri siku zinavozidi kwenda kijana anakosa aman anakua mtu wa mawazo baada ya ndoa yake kuingia dosari. Siku ya Jumamosi alivorudi katika mizunguko yake alioga akala na akajipumzisha kitandani kutoka na hali ya msongo wa mawazo iliyokua inamkabili alishindwa kupata usningz vyema wakat huo bibie tayari alikua ashalala fofofo. Akasikia mlio wa meseji kuingia kwenye simu ya mkewe hakusita aliamua kuichukua ili ajue ni nini kinaendlea sio kawaida nyakati za usku mseji kuingia ilikua n mida ya saa 7 usku ,,meseji ilikua ikisomeka ivi "MKE WANGU NAOMBA TUKUTANE PALE TUNAPOKUTANA SIKU ZOTE" ,, Kijana alipigwa na Butwaa kubwa na mapigo ya moyo kuenda kasi Nakujiuliza kitu gani amekosa kama mahitaji yake ya msingi anampatia tena kwa wakati? Katika kuchunguza zaidi alikuja kugundua namba iliyotuma uo ujumbe ni namba ya mpenzi wake wa zamani ambae wamezaa nae huyo mtoto mmoja. Balaa linazidi kuwa zito

INAENDELEA ..............
Mayage yenga wa mpanda alioa watatu kwa mpigo sababu yake alisema alisha wahi kuoa mke moja alimtesa sanaa, shauri huyu rafiki yako pamoja na machungwa aongeze matunda mengine kama maembe na tikiti avute wa pili, hao wa dudu wa kianza hawatibiki
 
Ukiomba lift gari la taka harufu ni lazima.
Sasa umeoa mtu ana mtoto ni vigumu kumnyima tamu baba watoto wake.
H
 
Mayage yenga wa mpanda alioa watatu kwa mpigo sababu yake alisema alisha wahi kuoa mke moja alimtesa sanaa, shauri huyu rafiki yako pamoja na machungwa aongeze matunda mengine kama maembe na tikiti avute wa pili, hao wa dudu wa kianza hawatibiki
nimeupokea ushauri wako
 
Back
Top Bottom