Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Nyumba nyingi wamebaki wabibi na wamama zaidi endapo mmoja ameondoka.Najiuliza labda huenda wanaume wanafight sana kuliko wanawake.Nyumba jirani wabibi ndio wameishi miaka mingi zaidi na unakuta kina baba walikufa miaka zaidi ya 40 iliyopita.Labda huenda wameumbwa hivyo waishi zaidi kuliko sisi,lakini ni jibu lisilojitosheleza.Wanaume tunakufa mapema mno japo kifo ni ahadi.Sababu nini hasa?
Kwa hivyo,
je, unafikiri kwamba uwezo wa kuishi kwa muda mrefu unategemea jinsia?
Na kama ndivyo, kwa nini wanaume wanaonekana kufa mapema kuliko wanawake?
 
Nyumba nyingi wamebaki wabibi na wamama zaidi endapo mmoja ameondoka.Najiuliza labda huenda wanaume wanafight sana kuliko wanawake.Nyumba jirani wabibi ndio wameishi miaka mingi zaidi na unakuta kina baba walikufa miaka zaidi ya 40 iliyopita.Labda huenda wameumbwa hivyo waishi zaidi kuliko sisi,lakini ni jibu lisilojitosheleza.Wanaume tunakufa mapema mno japo kifo ni ahadi.Sababu nini hasa?
Research yako umeifanya wapi
 
Wanawake wanakojolewa protein shahawa wanaume wanamtoa protein shahawa hivyo kwakuwa protein shahawa hujenga mwili basi mwanamke anapokojolewa anajengwa na mwanaume anapokojoa anajibomoa.
 
Nyumba nyingi wamebaki wabibi na wamama zaidi endapo mmoja ameondoka.Najiuliza labda huenda wanaume wanafight sana kuliko wanawake.Nyumba jirani wabibi ndio wameishi miaka mingi zaidi na unakuta kina baba walikufa miaka zaidi ya 40 iliyopita.Labda huenda wameumbwa hivyo waishi zaidi kuliko sisi,lakini ni jibu lisilojitosheleza.Wanaume tunakufa mapema mno japo kifo ni ahadi.Sababu nini hasa?
Ni kweli hata bila utafiti sana utagundua nyumba nyingi wamebaki wanawake na mabibi.

Wanaume wanatangulia kufa katika familia nyingi.

Sisi wanaume tunabeba matatizo mengi sana, wanawake wengi wao wanabeba matatizo yao tu.

Hii ni kwa ujumla kama nionavyo mimi, unaweza kuchambua ni mangapi unawaza kuyatatua iwe matatizo au mafanikio.

Tuna mizigo mingi sana tumeibeba
 
stress za maisha na kupambania uchumi watoto na hisia za mtu pia umri mkubwa wa wanaume kuliko wanawake unaoa mtu umemuacha miaka 20 what do you expect. baadhi ya wamama wanatupiga changa la macho (nilisikiaga wachagga sina uhakika)
 
FB_IMG_1686280973239.jpg
 
Back
Top Bottom