Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Siku za hivi karibuni kumeibuka watu wanapost thread za ajabuajabu.

Mleta mada yamkini hajawahi hata kukaa na mwnaamke GHETO 😄😄😄😄
wakamwambia mbona sisi sio vipofu? Yesu aliwaambia ni vipofu kwa sababu wanatazama ila hawaoni # know thy self
naomba unijibu hili swali umetoka wapi unaenda wap?
 
Majibu ya mtaani ni mengi mara life style, mara kazi ngumu, mara stress n.k, n.k, lakini jibu sahihi ni kwamba wanaume wengi hufa kwa kuuawa na wake zao direct and indirect.

Katika nyumba 4 nilizowahi kupanga Dar es salaam ni nyumba moja tu nilibahatika kumkuta baba na mama mwenye nyumba. Tatu zingine wanaume waliwahi kuzikwa kabla ya wake zao.

Hivi unadhani ukiwekewa tone moja la sumu kila wiki moja au mara moja kwa mwezi hautakata moto mapema?

Uchawi, Maneno, Kelele toka kwa mwanamke huleta kifo cha haraka kwa mume wake.

Kuna jamaa zangu wapo Dar karibu na kanisa la Mwingira wanakufa sana kwa vifo vya utata, wanawake wakiwa washukiwa wakubwa lakini hakuna namna unaweza kuwashitaki.

Jamaa mmoja kakopa pesa ndefu kidogo, siku pesa imeingia tu kafa. Wengine wakistaafu tu pesa inaingia na wao wanaingizwa kwenye jeneza.

Kuweni makini na wanawake.
 
Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?

Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?

Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
 
Majibu ya mtaani ni mengi mara life style, mara kazi ngumu, mara stress n.k, n.k
Lakini jibu sahihi ni kwamba wanaume wengi hufa kwa kuuwawa na wake zao direct and indirect.
Katika nyumba 4 nilizowahi kupanga Dar es salaam ni nyumba moja tu nilibahatika kumkuta baba na mama mwenye nyumba. Tatu zingine wanaume waliwahi kuzikwa kabla ya wake zao.
Hivi unadhani ukiwekewa tone moja la sumu kila wiki moja au mara moja kwa mwezi hautakata moto mapema?
Uchawi
Maneno
Kelele
Toka kwa mwanamke huleta kifo cha haraka kwa mume wake.
Kuna jamaa zangu wapo Dar karibu na kanisa la Mwingira wanakufa sana kwa vifo vya utata, wanawake wakiwa washukiwa wakubwa lakini hakuna namna unaweza kuwashitaki.
Jamaa mmoja kukopa pesa ndefu kidogo, siku pesa imeingia tu kafa.
Wengine wakistaafu tu pesa inaingia na wao wanaingizwa kwenye jeneza.
Kuweni makini na wanawake.
Hakuna mwanaume anapenda kelele lakini ukikutana na kirumbembe lililojawa tamaa ya Mali , utajuta kuzaliwa ndio maana tunasema ficha michongo yako , au ukutane na single mother mjuaji na mwenye shobo kwa waliotoboa utajuta hakuna rangi utaacha kuona , kikubwa ficha michongo yako akishindwa asonge mbele na uchi wake wewe Baki na pesa zako kwa amani
 
Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?

Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?

Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
Kwa sababu wao wameamka wakagundua kuna maisha baada ya kupenda kalio la binti.

African Men wamekaza shingo.
 
Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?

Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?

Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
Hii sio kweli. Wanawake wanaishi maisha marefu kuliko wanaume dunia nzima:

1736124033718.png
 
Tupunguze na ma konyagi na haya masigara sa nyingne tunawasingzia wanawake wakat ss tunajiua wenyew kwa mitindo yetu ya hovyo ya maisha
 
Babu yangu upande wa mama alifariki 1997 bibi akafariki 2013, upande wa baba,babu alifariki 2007, huku bibi bado yupo. Kuna wanawake wengi ni wajane kuliko wanaume wagane, hili limekawaaje wakuu?
 
Kuna sababu kadhaa zinazofanya wanaume wengi kufa mapema kuliko wanawake katika jamii nyingi duniani.

Tafiti zinaonyesha wanawake wana umri wa kuishi mrefu zaidi kuliko wanaume na hili ni sahihi kabisa

1. Mtindo wa maisha

Wanaume wengi:
Hutumia pombe kupita kiasi
Huvuta sigara
Hufanya kazi hatari zaidi
Hii huongeza hatari ya magonjwa na vifo.

2. Kutopenda kwenda hospitali mapema.

Wanaume wengi huchelewa kwenda hospitali wakiumwa, hivyo magonjwa hugunduliwa yakiwa tayari makubwa.

3. Magonjwa ya moyo.

Wanaume wanaathirika zaidi na magonjwa kama:
Heart Disease
Stroke

4. Ajali na hatari

Wanaume huwa kwenye hatari kubwa zaidi mfano
Ajali za barabarani
Kazi ngumu au hatari

5. Sababu za kibaolojia

Mwanamke kuwa na XX na Mwanaum XY hii ni genetic and healthy stability mwanamke ni stable na persestiv sana linapokuja swala la kinga ya mwili
Na ile homoni yao ya estrogen usaidia sana kulinda na magonjwa hatarishi yanayo husiana na moyo
 
Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?

Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?

Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
Life expectancy kubwa
 
1775626122184.jpg

Picha kutoka kwa mdau aliyopost mtandaoni sio Taarifa rasmi yenye chanzo chochote cha kuaminika.

Kuna mtu ameanzisha mjadala kwanini wanaume wanakufa haraka kuliko wanawake. Jambo hili lipo kibiolojia zaidi na tafiti zunaendelea kufanyika. lakini nilazima ujue haya

1. Wanaume huanza kufa haraka tangu Mbegu ( Y) , kipindi cha ujauzito, na wakati wa Utotoni na ujanani wanaofika miaka ya uzee ni wachache

2. Hii inafanya takwimu kuonesha wanawake wengi ni wazee na wanaume wengi ni vijana na watoto

3. Je majukumu ndio sababu? Hii haiwez kuwa sababu ya moja kwa moja kwasababu wanaume wengi wanafariki katika umri wa utoto, wakati wa mimba na hata mbegu Y hufa mapema je ina majukumu gani? Vilevile Upande wa majukumu mengi kwa familia ni utamaduni wa africa mashariki nitofauti na nchi nyingine ambapo wanawake na wanaume hushirikina

3. Sababu ya wanaume kuwa na seli dhaifu inaweza kuwa na mashiko? Ndio. Hii inamaana kuwa hata ikiwa utawanyima mwanamke na mwanaume chakula kwa siku kadhaa tunategemea mwanaume kuanza kudhoofu zaidi na hata kufa mapema zaidi kuliko mwanamke.
4. Sababu ya sisi wanaume kuoa wanawake wadogo inaweza kuwa na mashiko? Ndio kwa asilimia chache

5. Habari njema. PAMOJA NA SISI WANAUME KUFA MAPEMA BADO IDADI YETU DUNIANI NI KUBWA KULIKO WANAWAKE KWA ZAIDI YA WANAUME MILION 40. na kufanya kuwa na Uwiano wa 101 Men : 100 women. ( Kwa mujibu wa sensa ya watu kwa kila nchi) World population by gender

Je mtazamo wako ni upi mdau
 
Back
Top Bottom