Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Wewe uoe mwanamke umemzidi miaka 10 mpaka 15 alafu unategemea yeye awahi kufa kabla yako?

Kingine, majukumu na mitindo ya maisha kwa wanaume ndio sababu kuu
 
Watu wengi wanaharibu ndoa hivi:
Kabla ya ndoa wanaishi kirafiki sana utani, kucheka na kusaidiana majukum

Baada ya ndoa mwanaume anakata ule urafiki anataka uongozi, hataki utani sana na mazoea mengi

Kilichomfanya mwanamke aolewe ni ile bonding ya urafiki, utani, kusaidiana majukum so anaaza kuona umebadilika… na yeye anabadilika kulingana na mapokeo sasa….
Baba hakuna rangi utaacha kuona kwann usife😂😂😂
 
Wewe uoe mwanamke umemzidi miaka 10 mpaka 15 alafu unategemea yeye awahi kufa kabla yako?

Kingine, majukumu na mitindo ya maisha kwa wanaume ndio sababu kuu
Yaan ongeza maelezo mfano mimi sioi mwanamke ambae napishana nae miaka 5 yaan hata hio 10 kidogo at least tupishane miaka 19 au 20 huyo naoa, sasa usiniulize kwanini nakufa mapema kisha yeye anabakia na watoto, kwa karne tuliyopo binti ana miaka 17 utadhani limama la miaka 39 kumbe ni kibinti tu hata miaka 18 hajafika kwa hio ukivuta huyo ndani hakuna atakae shangaa sababu tayari ni limama, huwezi ukaenda kuokota mwanamke wa miaka 39 ambae ukimwangalia ni km libibi la miaka 79 yaan ngoja niishie hapo
 
Mawazo +majukumu mazito
kwenye suala la kucheki afya niwazito sana wabishi
Changanya na wivu uliopitiliza
Michepuko lukuki inayochanganya akili zenu
Siku za kuishi hapo lazima zipungue
Dada, katika vitu vinavosaidia wanaume tupate amani na furaha japo kiduchu ni MICHEPUKO. Muulize hata baba ako mzazi atakueleza. Angalia wazee wanaokua na hivo vitabia au wale waliooa wake wengi ndo hua wanaishi miaka mingi kuliko wale wajinga wachache wanaojifanya wanakomaa na mwanamke mmoja ndani. Hua wanakufa kama kumbikumbi
 
kwahiyo unamichepuko lukuki kuitafuta furaha
siku mchepuko ukiwa haupatikani presha inapanda unakufa
tengeneza furaha yako mwenyewe
furaha ya kweli haitegemei mtu
 
kwahiyo unamichepuko lukuki kuitafuta furaha
siku mchepuko ukiwa haupatikani presha inapanda unakufa
tengeneza furaha yako mwenyewe
furaha ya kweli haitegemei mtu
Madam, kitende cho kuoa ni elimination ya furaha ya mwanaume. Kama umeolewa hata mumuo anajua hilo. Mkiolewa hua mnaganda ubongo, Michepuko ndo kila kitu kwa furaha ya mwanaume alieoa. Na sababu michepuko haitolewi maali, usipo pokea simu nafuta namba, naenda club nachukua kitoto cha chuo cha 19 au 20s za mwanzo, nakizagamua mpaka nafeel guda. we upo home na miaka yako 30s huko unachochea mkaa jikoni maharage yaive.
 
Back
Top Bottom