Uchaguzi 2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

Nimekuquote kwa sababu umetoa wazo la kipuuzi mbele ya wanaume wasiopenda mizaha, kama ungrliyatoa hayo mapendekezo yako pm bila shaka nisingeliyasoma, lbd tu na mm nikuulize kwa nn umepost in public?
Acha jazba basi

Sio amri wewe kuamini ninachokiamini mimi, wala sio amri Mimi kuamini unachokiamini wewe

Ukisoma kisipokupendeza pita kimyakimya.... btw sikua nimekuquote wewe na sijui kwanini uliniquote
 
Nimekuquote kwa sababu umetoa wazo la kipuuzi mbele ya wanaume wasiopenda mizaha, kama ungrliyatoa hayo mapendekezo yako pm bila shaka nisingeliyasoma, lbd tu na mm nikuulize kwa nn umepost in public?

Unataka mawazo yangu nipeleke pm kwani nini haswa majengo ya jamiiforum jukwaa la siasa?

Kunywa ☕upumzike kidogo tuendelee kuijenga nchi ndugu yangu.

Sio yote tunayoyataka tunaweza kuyapata, na sio kila tunachokikubali sisi kila mtu anakikubali

Siasa ni imani kama ilivyo dini, sio shurti kila mtu aamini kwa unachoamini

Michango yangu inaweza kuwa ya kipuuzi kwa mwanaume wewe ila wengine wanaiona powa tuu, na hata kama hatukubaliani hatupingani kwa maneno machafu, matusi na dharau
 
Unategemea mageuzi kwa wanasiasa kama hawa


Njaa tupu,hawana msimamo,haya ya leo yalianza 2015.
 
Hahahaaa, kwa uelewa wako.

Kama sijasahau, tume ilikataa tena ilitoa tangazo wiki moja kabla kuwa, haitawezekana mtu kupiga kura(hata ya uRais) sehemu ambayo hakujiandikishia.
 
Wote hao ni waumini wa Demoncracy. Mademon yatawasumbua sana na yatasumbua nchi kwa kuwa haki huinua taifa. Sisi tunaamini Demokrasia sio demokrasia ya Jiwe.
 
Utadhani hizo pesa ni pesa zinazotoka mfukoni Mwale! Madikteta ndivyo walivyo!
 
Sinaga chuki mimi mwenzio na hiyo unayoiita ex ikishakua ex hainaga nafasi tena popote, nakushauri na wewe usiwe na chuki na mimi sababu kwa jazba ulilo nalo unaweza kutangulia huko ahera kabla ya muda wako kufika. Pole weee
mama D nakukubali Sana unajua Sana kujenga hoja kuliko hata wanaume wengi ambao wapo humu ingawa me sio mpenzi wa CCM Wala CHADEMA kiufupi me si mpenzi wa vyama Lakini napenda mtu ambaye anajua kujenga hoja na kutetea hoja bila matusi au miemuko bila kujali yupo upande gani wa siasa au Hana Itikadi ya vyama
 
Sinaga matusi mie wala sipendi matusi bali napenda kukosoa kama nilivyo kukosoa ila kama uliona nimemtumia lugha chafu basi unisamehe
Usisahau pia kuwa sio kila mtu atakuunga mkono kwa post yako inayolenga kukejeri aina furani ya watu, ni hakika umekejeri wapinzani kisa wameshindwa kushinda ccm oliyopewa ushindi wa chee na NEC
Ukiwa mtu timamu kiakili huwezi furahia huo ushindi wa CCM uliotengenezwa na NEC
Wenye akili tunaendelea kutafakari huo ushindi wa mezani
Wewe unaamini ccm wameshinda wkt hata shetani haamini huo ushindi
 
Sijawahi kuwa na manzi maisha mwangu, lbd huyo ex huwa anatoka na mke wa shoga yako mama D chunguza vizuri

Utakuaje na manzi au mke wakati wanaume mlikua na mikakati ya kuhalalisha kuolewa na wanaume wenzenu. Hizi post zako hapa tuu zinawakilisha akili mlivyo, hamna hoja za kujenga ila matusi tuu na jazba

CHADEMA yenye dira ilijifiaga Dr Slaa alipowaacha na ACT imeondoka na jembe mama mghwira
 
Mkuu unalipa kodi kiasi gani mkuu?
 
Nafikiri hata nyinyi wenyewe mkikaa mkatulia kabisa na nafsi zenu mnaona kabisa hamjafanya fair, nafsi zinawasuta.
 
Ni NEC jawabu
 

Pamoja mkuu tuachane na matusi na dharau tujenge hoja. Yaliyopita si ndwele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…