Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,547
- 22,982
we kubali tu mi sikuombi ubuyu pm bwan hahahaHapana
we kubali tu mi sikuombi ubuyu pm bwan hahahaHapana
ugali mtamu sanaaaaTena ogopaaa utakufa kabla ya mda
Ongea vzr na ummy ata kwambia vzrwe kubali tu mi sikuombi ubuyu pm bwan hahaha
Na dagaaugali mtamu sanaaaa
😃😃😃😃Mniteke nawajua watu wa humu 😂
Unazunguka zunguka tu mwenyew huelewi unachokisemaAnaenisema vibaya kwa kua nafanya vibaya au nafanya mabaya huyo mtu ndie anaenipenda kwa dhati, sasa km kuna mabaya hakuyapenda akawa anayazungumzia kuhusu boss wake, hapo napata akili km yule jamaa aliemsema boss wake mwenye tabia ya Ulevi kisha mmoja wa waliekua wanamuongelea boss akaenda kumwaga cheche kwa boss ili kile cheo cha jamaa apewe yeye na kweli boss akamvua jamaa aliemsema vyeo vyote akampa yule aliempelekea umbea, kwa hio kuharibiana kupo tu but anaekusema kwa mabaya yako huyo ndio rafiki yako mwema zaidi kuliko yule anaekusifia hata kwa mabaya unayoyafanya
Kabisa😃😃😃😃
Kwahiyo unabana?
ukitaka nisile kwenu,nikija nipikie hao dagaa aseeee huwa najaribu ila ikifika shingoni tu nameza kwa tabu mnooooNa dagaa
Samia mlevi!!!!Kwani alisema uongo
Kwani Samia sio mlevi?
Kosa lake ni Nini?
Wew ni mmasaiukitaka nisile kwenu,nikija nipikie hao dagaa aseeee huwa najaribu ila ikifika shingoni tu nameza kwa tabu mnoooo
mimi ni kamweneWew ni mmasai
😂😂😂😂Mama kwa visasi
Kama vile yeye uwa hawasemi wenzake
😂😂😂😂Huyu Ummy hata pale Korogwe Girls alikua anasutwa sana.
Alisema mama ana visugua vyombo vya wenzake mpaka vinatoa vita ya songeaMlevi huyo hata juzi alivyoenda msumbiji kalewa Sana
Bas nitakupikia mnavuumimi ni kamwene
Wew 😂😂😂 code ushaifunguaAlisema mama ana visugua vyombo vya wenzake mpaka vinatoa vita ya songea