Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Ninyi Wote ni Wambea na mm nimo
Nan alimtuma asikilize?
Nan alimtuma amseme boss?
Nan alimtuma apeleke Vn?
Nan alimtuma mleta mada atuambie?
Nan alikutuma uangalie hii thread?

Ni UmbeašŸ˜Ž (alf msinishambulie)
 
Alirekodiwa akimkashifu Rais kuwa hafai na anapaswa kuondolewa 2025 ili mwigulu achukue kiti.
Ni KARMA.

ALIKUWA ANAMFITINI SANA MAJALIWA IKAFIKA WAKATI MAMA AKATAKA KUMLA KICHWA MAJALIWA.
MWISHO WAKE YEYE KALIWA.
 
Hana kitumbo, alitumbuliwa kama wengine wanavyotumbuliwa na bungeni na kwenye shughuli za siasa aliendelea kama kawaida

Ummy ana miaka 51, usifikiri ni below 40 au early 40
So miaka 51 hushiki mimba?..naomi campbell ana miaka mingapi na anabeba mimba!?
 
Back
Top Bottom