Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Mzee anayekaribia miaka 70 hana muandiko wa namna hii...
Humu member ninayefahamu ni mzee ni Mohamed Said tu.
Hahahaha😄😆😆! Nimecheka kwa sauti kutokana na uandishi wako!

Nimeritire 2018
age(1958):ie 70-3, midogo hiyo?

Personallity ya mtu inategemeana na namna saikoloji yako unavyoishape!

Naweza nikajirudisha ujana na makunyanzi yangu tukashindaniana madem nikakuwin na isiwe ajabu.

Bado ninada bw. mdogo.
 
Back
Top Bottom