Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Kuna moja kubwa alilisema ummy naona. Hilo ndio lilimuuma zaidiKwamba maza anapiga vyombo? Naona sasa hata mdudu anafukia
Kuna moja kubwa alilisema ummy naona. Hilo ndio lilimuuma zaidiKwamba maza anapiga vyombo? Naona sasa hata mdudu anafukia
Kitu ya mkwereUmmy Mwalimu alijiharibia kwa tabia yake ya uswahili kumsengenya boss wako kwa njia ya simu
Ombeni Sefue aliwahi kutimuliwa ikulu usiku wamanane baada ya kudukuliwa akimsimanga JPM kwa JK.saa nane na dk 25 usiku akapigiwa simu na jiwe na kuambiwa YOU ARE FIRED
Ummy Mwalimu hakujifunza akarudia kosala Balozi Sefue.
Pamoja na kuomba msamaha na kumtuma JK ila mama amekaza fuvu hataki kumuona wala kumsikia
Hata inbox kiongozi kama hapa ni zito sana 😁😁😁 au tia codeKuna moja kubwa alilisema ummy naona. Hilo ndio lilimuuma zaidi
Kiongozi akifanya hivyo atakuwa anakosea sana coz unaempa hicho cheo hawezi kuwa competent au kuwa mbadala wa unaemuondoa japo wafanyakazi wanakumbushwa kusimamia viapo vyao ikiwemo na kutunza siriAnaenisema vibaya kwa kua nafanya vibaya au nafanya mabaya huyo mtu ndie anaenipenda kwa dhati, sasa km kuna mabaya hakuyapenda akawa anayazungumzia kuhusu boss wake, hapo napata akili km yule jamaa aliemsema boss wake mwenye tabia ya Ulevi kisha mmoja wa waliekua wanamuongelea boss akaenda kumwaga cheche kwa boss ili kile cheo cha jamaa apewe yeye na kweli boss akamvua jamaa aliemsema vyeo vyote akampa yule aliempelekea umbea, kwa hio kuharibiana kupo tu but anaekusema kwa mabaya yako huyo ndio rafiki yako mwema zaidi kuliko yule anaekusifia hata kwa mabaya unayoyafanya
Kumbe we mtu mzito eeeehKuna moja kubwa alilisema ummy naona. Hilo ndio lilimuuma zaidi
Mwachiluwi pm ipo wazi tupia tuKuna moja kubwa alilisema ummy naona. Hilo ndio lilimuuma zaidi
Eeeeh we baba na udakuuuMwachiluwi pm ipo wazi tupia tu
She is ur classmate?Huyu Ummy hata pale Korogwe Girls alikua anasutwa sana.
na mimi hiyo klipu ya ummy ninayo akimsimanga mama,na huku alikuwa rafiki yake,mwandani wakeUmmy Mwalimu alijiharibia kwa tabia yake ya uswahili kumsengenya boss wako kwa njia ya simu
Ombeni Sefue aliwahi kutimuliwa ikulu usiku wamanane baada ya kudukuliwa akimsimanga JPM kwa JK.saa nane na dk 25 usiku akapigiwa simu na jiwe na kuambiwa YOU ARE FIRED
Ummy Mwalimu hakujifunza akarudia kosala Balozi Sefue.
Pamoja na kuomba msamaha na kumtuma JK ila mama amekaza fuvu hataki kumuona wala kumsikia
Nitonye basi kwa faida yangu binafsiEeeeh we baba na udakuuu
MtanzaniaHivi Ummy ni mdigo au msegeju?
Huu umbeya mnatoaga wapiUmmy Mwalimu alijiharibia kwa tabia yake ya uswahili kumsengenya boss wako kwa njia ya simu
Ombeni Sefue aliwahi kutimuliwa ikulu usiku wamanane baada ya kudukuliwa akimsimanga JPM kwa JK.saa nane na dk 25 usiku akapigiwa simu na jiwe na kuambiwa YOU ARE FIRED
Ummy Mwalimu hakujifunza akarudia kosala Balozi Sefue.
Pamoja na kuomba msamaha na kumtuma JK ila mama amekaza fuvu hataki kumuona wala kumsikia
HapanaKumbe we mtu mzito eeeeh
Hapo sawa ila hadharani siwez semaHata inbox kiongozi kama hapa ni zito sana 😁😁😁 au tia code
Kusema kweli umbea wa nchi nauogopa mnoooNitonye basi kwa faida yangu binafsi
Mniteke nawajua watu wa humu 😂Mwachiluwi pm ipo wazi tupia tu
Tena ogopaaa utakufa kabla ya mdaKusema kweli umbea wa nchi nauogopa mnooo